Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 609
Selous, pole mkuu, halafu pole pole, Mod anakutazama, hilo neno la mwisho halina sababu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alikuwa anataka kufanya ufisadi kuepuka hukumu ya wananchi sasa amerudishwa na kijana wa chadema anakubalika nyamagana ni hakuna mfano, kazi ipo kwa masha
Tendwa akifuata sheria na akatoa uamuzi wake kwa misingi ya sheria na haki, atakuwa amejiwekea mazingira mazuri ya kuheshimika si Tanzania peke yake, bali dunia nzima. Atakuwa na uhakika wa kupata kazi kokote pale.
mbona hii haijatangazwa wakuu😛layball:
Angalia MwanaHalisi ya leo imetoa, lakini kabla ya jana Diallo ambaye inaaminika alikuwa akimsaidia Mgombea huyo wa Chadema kumshinda Masha, juzi na jana alikuwa akisambaza SMS kwa waandishi kuwataka kufuatilia jambo hilo.
Aiseee
Mkuu angalia usidondoke, hayo ni maneno ya mwisho kabla jamaa kudondoka jangwani!!