jamani mmepata habari ya masha kuwa NEC INMETENGUA USHINDI WAKE WA MEZANI KAMA INAVYOSOMEKA KWENYE WALL YA MASHA KWENYE FACE BOOK
Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea! Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September!
KAZI IPO WA NDUGU
tume ya uchaguzi taifa umetengua maamuzi ya msimamizi wa uchaguzi nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea!
Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of september! Lau masha ameandika kwenye facebook page yake.
Jamaa hajakubali lol!
Inatakiwa bidii za ziada zitume ili huyu waziri mzembe kushinda mawaziri wote wazembe asirudi tena bungeni...Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea!
Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September! Lau Masha ameandika kwenye Facebook page yake.
Jamaa hajakubali Lol!
alikuwa anataka kufanya ufisadi kuepuka hukumu ya wananchi sasa amerudishwa na kijana wa chadema anakubalika nyamagana ni hakuna mfano, kazi ipo kwa masha
alikuwa anataka kufanya ufisadi kuepuka hukumu ya wananchi sasa amerudishwa na kijana wa chadema anakubalika nyamagana ni hakuna mfano, kazi ipo kwa masha
so MASHA have to compete with others....lets hope a fair ground
Bado JK sasa naye apigwe chini maana kavunja sheria ya uchaguzi...hahaaaaaa
Kuna matumaini kuwa NEC wanaweza kutoa haki.
Mmmh napata kiza kuamini. Sasa mkuu Tendwa atakuwa anatoa hiyo haki akiwa Brussels au? Maana siamini anaweza akawa Tz akatoa maamuzi ya haki. Ila akiweza kupangua hilo kwa kufuata sheria, atangia katika vitabu vya historia ya Tanzania kama kiongozi aliyerudisha uhuru uliokuwa unabakwa na sera za chama tawala
kwa jinsi tulivyoumbwa, ukinyang'anywa tonge lazma upate kamaumivu kadogo na nadhani na yeye yamempataLakini inaonekana kama Masha hajaridhika. Umesoma statement yake? Anasema:
"Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September!"
Kazi kweli kweli!
Mkuu hata kama Tendwa akiipiga chini CCM, Mahakama Kuu au ya Rufaa inaweza ikatengua hukumu in favour of CCM. Hakuna mtu asiyefahamu hukumu ya Mgombea Binafsi ilivyoamriwa.