Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Je wajua kuwa Uchaguzu mwaka huu umepangwa katika mwezi usio wa kawaida?
Katika mwezi huu wa OKTOBA una IJUMAA 5, JUMAMOSI 5 NA JUMAPILI 5, zote zipo katika mwezi mmoja. Hii hutokea mara moja katika kila miaka 823.
Hii inamaanisha nini kwa wagombea wetu mwaka huu? Je umegundua kuwa hata wagombea wake ni waajabu? Hebu angalia mlolongo huu:
1. Profesa Lipumba
2. Dr Kikwete
3. Dr Slaa
4. Dr Hashim
Mlolongo wa elimu kama huu haujawahi kutokea huko nyuma kwa wagombea wa urais.
Sasa ni nani wa kuchaguliwa hapo? Jibu, Ahh kwanini usimuache Rais aliyekwisha kuwa na uzoefu wa kuiendesha nchi kwa miaka mitano. Suala si tu uzoefu bali vile vile ni kumalizia program zake ili watanzania tuondokane na umasikini once and for all.
Isitoshe ni kijana aliyelelewa na Mwl Nyerere, hivyo kama tunahitaji kumuenzi mwl kama tunavyoeleza humu JF (14/10) BASI TUMCHAGUE KIKWETE. Au mnaonaje wenzangu?