KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Sasa nani anapenda kuangalia shetani, huyu jamaa anaeza kua ni mla watucomrade hii image hata mimi pamoja na unyang'au wangu,inaniogopesha.pure reptilian shit right there.
yule mkenya ana kila sababu ya kuogopa kukutazama usoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha pumzika bro kwa leo tutaonana kesho😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Picha za studio za nini, ungesema tulete audited books tunagalie pesa
Hahahhahahahahah 😱😀😀😀😀😀😀 Kukubali unakubali ila moyo unakataaUnataka zipostiwe hapa ili iweje? Tafuta hizo vifaa vya Bamba Tv na Wananchi group (Zuku TV) online. Acha kusumbua watu na mambo zisizo na tija.
Yaani unaogopa picha!?. Hujui kuwa hiyo ni picha!? Unamatatizo ya kisaikolojiaSasa nani anapenda kuangalia shetani, huyu jamaa anaeza kua ni mla watu
Mimi ama wewe, that pic is very disturbing na pia mwenzako amekuambiaYaani unaogopa picha!?. Hujui kuwa hiyo ni picha!? Unamatatizo ya kisaikolojia
Wanataka kucheza na azam tv heheheeheheheh watu wanaonesha football games wakitumia mitambo yao unafkiri mchezoi took these photos today at azam tv uhai studio while i was there for a business meeting with one of the program directors.i felt like i was at a CNN headquarter.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa wewe hapo unaogopa nini????? Huna hoja za kuongelea auMimi ama wewe, that pic is very disturbing na pia mwenzako amekuambia
Yaani unaogopa picha!?Mimi ama wewe, that pic is very disturbing na pia mwenzako amekuambia
wewe "nilishakunyorosha" hapo chini ulipokuja na hoja yako ya kijinga kuhusu media za tz.Unataka zipostiwe hapa ili iweje? Tafuta hizo vifaa vya Bamba Tv na Wananchi group (Zuku TV) online. Acha kusumbua watu na mambo zisizo na tija.
pole sana buda kwa kuwa na mawazo duni.hiyo ndio shida ya kukurupuka kukomenti bila kufanya uchunguzi.shame on you.[emoji23] [emoji23]
last year during the US election,azam tv, sent its best news anchor;Charles Hilary (former BBC swahili new anchor) to cover the US election.
he had different live interviews with east africans living in US.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha rightNimeskia raila kapita kwenye muungano cha nasa safarii hii uhuru kenyatta kazi anayo na safari hii akianzisha vita anahusika the hegue vizuri kabisa
Duh!wewe "nilishakunyorosha" hapo chini ulipokuja na hoja yako ya kijinga kuhusu media za tz.
naona bado unajitutumua tena.safari nyingine ukija na hoja positive kuhusu tz make sure uwe umeifanyia utafiti wa kutosha ili kuepuka aibu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Ndio hvo yani akianzisha vita ajue ameegemea mlango wa the hegueHahaha right
tuwaombee amani hawa ni jirani zetu.wakianzisha vita,tz itakuwa na mzigo mkubwa wa kupokea wakimbizi toka kenya.Nimeskia raila kapita kwenye muungano cha nasa safarii hii uhuru kenyatta kazi anayo na safari hii akianzisha vita anahusika the hegue vizuri kabisa
Sana tena ndio safari hiii akianzisha vita ajue kaegemea mlango wa the heguetuwaombee amani hawa ni jirani zetu.wakianzisha vita,tz itakuwa na mzigo mkubwa wa kupokea wakimbizi toka kenya.
secta ya habari nchini tanzania inazidi kukua kila siku.
safari hii,kituo kikubwa cha runinga chenye makao yake makuu jijini dar es salaam,kimetuma reporter maaulum wa kuripoti yanayojiri katika uchaguzi nchini kenya.
mtangazaji mahiri wa Azam TV,mwanadada Ivona Kamuntu alipokuwa anafanya mahojiano na watu mbalimbali jijini nairobi mapema leo.
NB:watani zetu najua mtatoa povu maana mlishawahi kulalamika eti watz wanafatilia sana masuala "yenyu".
sisi wala hatujari,HAPA KAZI TU.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
What is so special kadoda11 ?
Kisha nikatoa maoni haya.......(na sio mimi pekee yangu)Big deal? It's the first time ever a Tanzanian media house has posted a journalist to cover an event in another country!
Kwa aibu, ukaja mbio mbio kujitetea na kutengeza mambo na habari hizi....pole sana buda kwa kuwa na mawazo duni.hiyo ndio shida ya kukurupuka kukomenti bila kufanya uchunguzi.shame on you.[emoji23] [emoji23]
last year during the US election,azam tv, sent its best news anchor;Charles Hilary (former BBC swahili new anchor) to cover the US election.
he had different live interviews with east africans living in US.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]