Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

MK254 naomba usimjibu huyu juha kalulu aitwaye kadoda11 katika hilo la vyombo vya habari za kisasa. Usimjibu unless anazidi na ana penda kuaibishwa.
 
ukirudi rudi na jibu la swali langu hapo juu.

ila mkae mkijua,kwa TV za kenya kuifikia azam TV in terms of modern broadcasting facilities in today's world, inabidi m-combine viTV station vyote vya kenya ikiwemo citizen TV,ntv,k24 na ktn.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

NB:halafu kuna wakati ilibaki kidogo tu azam tv wapate haki ya kurusha matangazo ya ligi kuu ya mpira kenya.

isingekuwa fitna za wakenya kwa kushirikiana na supersport, leo hii azam TV ndio ingekuwa official broadcaster wa league "yenyu" kuu ya mpira.

ligi kuu ya Uganda na Rwanda azam tv ndio baba yao.
shenzytype.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nation media group is the biggest media station in East Africa, but I doubt if they have the equipment that azam tv has because they don't own a pay tv, so they don't need those equipments
 
MK254 naomba usimjibu huyu **** kalulu aitwaye kadoda11 katika hilo la vyombo vya habari za kisasa. Usimjibu unless anazidi na ana penda kuaibishwa.
I tell you this mate,azam TV is the baddest and number one TV station for owning advanced broadcasting facilities in this region.prove me wrong by or stop whining.
 
That's because its a pay tv company, Nation media is big but doesn't own all those facilities because that's not their business, because they are mainly into normal programming and print media
 
Do you agree on not that Azam is modern TV station in a region?
 
Sinaga time na ushindani ya kichekechea. Hivi unatuletea studio iliyopambwa vizuri na unalinganisha hiyo na utendakazi.Listen to yourself! Hii aina ya studio tumezoea kila stesheni hapa kenya tangu miaka ya 90s. Usituletee picha , wakenya wa JF watakuzomba na za kutosha kama ni ushindani inatafuta. Naona hata wataalam wa mitambo hamna mnaagiza kutoka nje. Sisi huku tunao wenye hawana kazi. Aisee , tulianza kitambo na tumefika mbali.
 
Kwikwikwikwi. Povu la mwaka 2017
 
Do you agree on not that Azam is modern TV station in a region?
ur question was answered along time and I hate looking at your prof pic, wewe ni illuminati nini? si uweke ata ya mwalimu nyerere
 
Do you mean this photo?
55521.jpg

What the problem with that photo?
 
ur question was answered along time and I hate looking at your prof pic, wewe ni illuminati nini? si uweke ata ya mwalimu nyerere
This one here. What do you think about it.

eeff1a87a6f0d8a64b5100d873221f92.jpg
 
Kadonda Kenya ni a European country out of place bruh
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😛😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
NTV na KTN na Citizen wana Modern facilities man
sio za kushindana na azam tv baba pole sana😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hata tbc au star tv hamutoboi😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Sinaga time na ushindani ya kichekechea. Hivi unatuletea studio iliyopambwa vizuri na unalinganisha hiyo na utendakazi.Listen to yourself! Hii aina ya studio tumezoea kila stesheni hapa kenya tangu miaka ya 90s. Usituletee picha , wakenya wa JF watakuzomba na za kutosha kama ni ushindani inatafuta. Naona hata wataalam wa mitambo hamna mnaagiza kutoka nje. Sisi huku tunao wenye hawana kazi. Aisee , tulianza kitambo na tumefika mbali.
Povuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
That's because its a pay tv company, Nation media is big but doesn't own all those facilities because that's not their business, because they are mainly into normal programming and print media
povuuuuuuuuuuuuu kubali sasa mbona hukubali😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 kwan nyie hamuna ya kulipia au???????????
 
Umepewa facts,hio ni ukweli those are two.different media stations, ama hujui tofauti ya pay tv na media stations, is dstv the same na ITV?
 
Back
Top Bottom