Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Funny guy this kadoda11! Ati u did this for "trends" sake realy? Knowing u, you surely wldnt do that at the expense of your country's honour.
Anyway...I guess akina Geza and Annael would realy want to kick your teeth in for this...ha ha!

Goodmorning!
Hahaha nasoma tu nacheka yangu yote.. That guy huwa ilitrate kimpango
 
Whaaat! Aibu gani? Ati unasema nimekurupuka kuweka comment na ni wewe umefungua thread kucelebrate ati journalists wenyu wamepostiwa humu.......what are u talking abbout?

Ati jibu limeniacha na aibu........tchaa!
wewe nilishakunyosha kwenye hii comment yangu hapa chini.sidhani kama utapata tena ujasiri wa kuhoji ulichohoji mwanzo.

najua hili jibu lilikuaabisha sana.
waswahili wanasema "kisu cha ngariba kiliingia mahala lake".[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
pole sana buda kwa kuwa na mawazo duni.hiyo ndio shida ya kukurupuka kukomenti bila kufanya uchunguzi.shame on you.[emoji23] [emoji23]

last year during the US election,azam tv, sent its best news anchor;Charles Hilary (former BBC swahili new anchor) to cover the US election.

he had different live interviews with east africans living in US.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
06cae8382cd126bfc30cbe41947ec164.jpg
a31434e0f5c9a79674996e0a4ee4858c.jpg
49078877ca7b983092863737c8e953cc.jpg
c44a97a2dbb1493e2012a693a2d9b17e.jpg
 
Hahaha nasoma tu nacheka yangu yote.. That guy huwa ilitrate kimpango
karibu sana,naona mnashindwa kujizuia Ku comment hapa.

i have just talked with a friend of mine who is also among of the azam tv crew that's visiting nairobi.

he told me that the authority has given them the permission to conduct interview to people living in slums.
hapa kazi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Annael ichoboy01 Geza Ulole
 
chunguza vizuri,watz unaodai "wananishangaa", niliwajibu vizuri na wameelewa ndio maana huoni wakiendelea kushangaa.

kwanini hii thread inawafanya mtoe povu namna hii?.

au mnahofia journalist wetu watafanya mahojiano na wakaazi wa slums?.[emoji23] [emoji23]

Wakenya hawatokwi na povu, labda mmoja mmoja, wengi wanashangaa ujuha wenu wa kusheherekea kumtuma mwanahabari Kenya. Japo kuna Watanzania kama Radics wamekuja na kuweka sawa na kutoa hiyo aibu. Anyway kwaheri...
 
karibu sana,naona mnashindwa kujizuia Ku comment hapa.

i have just talked with a friend of mine who is also among of the azam tv crew that's visiting nairobi.

he told me that the authority has given them the permission to conduct interview to people living in slums.
hapa kazi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Annael ichoboy01 Geza Ulole
niliwaambia mimi azam tv imetawala east africa hawataki kuamini😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
karibu sana,naona mnashindwa kujizuia Ku comment hapa.

i have just talked with a friend of mine who is also among of the azam tv crew that's visiting nairobi.

he told me that the authority has given them the permission to conduct interview to people living in slums.
hapa kazi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Annael ichoboy01 Geza Ulole
Hahahaha!! Naomba iwe live Azam TV.
 
na sio hvo tu azam tv ina the modern studio in east africa anaebisha aje hapa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Wakenya hawatokwi na povu, labda mmoja mmoja, wengi wanashangaa ujuha wenu wa kusheherekea kumtuma mwanahabari Kenya. Japo kuna Watanzania kama Radics wamekuja na kuweka sawa na kutoa hiyo aibu. Anyway kwaheri...
povu mnatoa na ushahidi mdogo wa povu "lenyu" ni hiyo comment yako.

hofu "yenyu" kubwa mlio nayo ni kuhusu maisha halisi ya wakazi wa slums yasihojiwe na journalist wa tz.

safari hii hatuaachi kitu,tutahoji maisha yao,tutapiga picha makazi na mwisho wa siku tutatengeneza makala maalum ambayo itaruka ktk media zetu za tz.
hapa kazi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
safari hii tunataka kuonesha poverty ambayo kenya ipo, below poverty line is 46%
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 na slums zote zirushwe live

People living below the poverty line:
46%
 
so neno hapa kazi tu pia limeingia kenya😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
na sio hvo tu azam tv ina the modern studio in east africa anaebisha aje hapa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

hakuna TV station yenye picha ang'aavu na studio bora EA kama azam TV.
c4f7a9b898daf81bb42b14d006718a2d.jpg
15eaeb3e09cc19aff2faed4e65822736.jpg
 
Ivi huo ukabila kenya upoje
Tanzania naweza kwenda Mbeya nikakaa miaka wala siulizwi kabila langu
nilishangaa siku moja MOTOCHINI anasema
Kenya kila Kabila lina Redio yake
hii nikweli?
sio radio tu mpaka kanisa mkikuyu ana lake na mjaluo lake😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Upo ukabila, ila hakuna mtu atakukataza kuishi mahali popote utakapo. Kwa sasa hakuna mji, jiji ama kijiji ambacho hakina kabila zote, enda garissa utapata mkikuyu, mjaluo, mluhya, mkisii, Msomali, Borana kila mtu!!
wanaishi lakini kwa tahadhari kubwa sana😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Aisee, mimi hufurahia sana Kiswahili cha Wabongo hasa wakisoma taarifa ya Habari, matamshi hayana mbwembwe nyingi, sio lazima waseme taarifa za habari kwa Kiingereza, Kiswahili tosha hivyo. Unajua Kiswahili kama lugha yetu ya Africa Mashariki, Tanzania ichukue jukumu la kuendesha maswala ya lugha, kama ni hiyo Azam ichangamke, wanahabari hao wasafiri hadi nchi kama Marekani watuletee habari kwa Kiswahili.

Kenya Kiswahili kidogo, si chao, wanahabari Wakenya huenda hadi Urusi kutangaza habari, ila ni za kizungu bado.

Azam wafanye bidii kwa hili, Kisha, wafanye bidii kwa muonekana wa picha na sauti ya studio ilainishwe, hapo basi hata mimi ntazikiza Azam, kwa tamaa ya kujua Kiswahili zaidi.
tanzania imefanya juhudi kubwa sana kuhusu lugha ya kiswahili na ndio mpaka leo inatambulika duniani na afrika kwa ujumla
 
Hahahaha!! Naomba iwe live Azam TV.
Live huwa inaenda saa mbili usiku mda wa taarifa ya habari,ivona kamuntu huwa anatoa updates mbalimbali kuhusu uchaguzi wao.

ila documentary kuhusu maisha ya slums itakuwa recorded.
 
Back
Top Bottom