Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]zingine hizo naongezea sio mchezo
View attachment 501693 View attachment 501694 View attachment 501695 View attachment 501696 View attachment 501697 View attachment 501698
sio kenya tu east and central hakuna😀😀😀😀😀😀😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
wakenya udenda unawatoka.tv studio kama hii hakuna kenya.
naongezea misumarihata kwenye vitendea kazi,azam TV inaongoza kwa kuwa na modern facilities kushinda TV zote east and central Africa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
azam tv hatari sana.
wacha tarudi baadaehuna hoja.rudi tena kivingine.[emoji23] [emoji23]
azam tv hatari sana.
MK254 huko kenya kuna TV station au media house yenye modern broadcasting facilities kama azam tv?.
bila shaka hamna maana kwa jinsi wakenya msivyopenda kuzidiwa kimaendeleo na watz,msingekubari hizo picha zipite hivi hivi bila kujibiwa.
mnakodoa tu mimacho kodo na kuhepa kimya kimya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
ukirudi rudi na jibu la swali langu hapo juu.wacha tarudi baadae
Kenya kuna facilities kama hizo kaka. Na ligi ya Kenya inabroadcastiwa na BAMBA TV I guessukirudi rudi na jibu la swali langu hapo juu.
ila mkae mkijua,kwa TV za kenya kuifikia azam TV in terms of modern broadcasting facilities in today's world, inabidi m-combine viTV station vyote vya kenya ikiwemo citizen TV,ntv,k24 na ktn.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NB:halafu kuna wakati ilibaki kidogo tu azam tv wapate haki ya kurusha matangazo ya ligi kuu ya mpira kenya.
isingekuwa fitna za wakenya kwa kushirikiana na supersport, leo hii azam TV ndio ingekuwa official broadcaster wa league "yenyu" kuu ya mpira.
ligi juu ya Uganda na Rwanda azam tv ndio baba yao.
shenzytype.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina experience na TV stations za Kenya. I stream my stuff mate and illegal downloads mostlyweka picha hapa,"wacha maneno mingi".
weka picha za ob van,ob truck na ob bus za hizo TV za kenya.
oopd wrong forum
NTV na KTN na Citizen wana Modern facilities mankujitetea nayo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leta hapa tuzione plz.NTV na KTN na Citizen wana Modern facilities man
Sina, ata I rarely watch Kenyan tellyLeta hapa tuzione plz.