Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

mkuu,hizo redio bora hata zingekuwa za dini,ni redio zinazotangaza kwa lugha za kabila husika katika eneo husika.

Haina shida, hata redio za dini zinatangazia watu wa dini yake tu. Sioni kama kuna ubaya mtu akipata matangazo ya redio au runinga kwa lugha yake.
 
Haina shida, hata redio za dini zinatangazia watu wa dini yake tu. Sioni kama kuna ubaya mtu akipata matangazo ya redio au runinga kwa lugha yake.
basi sawa
 
pole sana buda kwa kuwa na mawazo duni.hiyo ndio shida ya kukurupuka kukomenti bila kufanya uchunguzi.shame on you.[emoji23] [emoji23]

last year during the US election,azam tv, sent its best news anchor;Charles Hilary (former BBC swahili new anchor) to cover the US election.

he had different live interviews with east africans living in US.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
06cae8382cd126bfc30cbe41947ec164.jpg
a31434e0f5c9a79674996e0a4ee4858c.jpg
49078877ca7b983092863737c8e953cc.jpg
c44a97a2dbb1493e2012a693a2d9b17e.jpg
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Ati tunashangaza tunavyodhani tumeendelea sana? In God's honesty, I have alsways assumed that all the major media stations with means, be it Ug or Tz do send their journalists abroad to cover the events of importance in those places; I dint state anywhere that Tanzania doesnt do that.
To be honest, I was quite amazed reading that original post by kadoda11 , he's the one who's implied that this is a first in Tanzania, thus my response above.
wewe huna lolote,jibu nililokupa pale juu limekuacha na aibu maana hukutegemea.

hiyo ndio shida ya kukurupuka kuweka comment bila kufanya uchunguzi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Askari Kanzu kafufuka ...maajabu haya!
kumbe tunapo amua kujiweka kando kwa mda fulani na jf,hususani kenya forums,huwa mnatumiss?.

tukiwaambia kuwa kenya forum bila sisi watz kuichangamsha huwa "inabore", huwa mnabisha.
 
kumbe tunapo amua kujiweka kando kwa mda fulani na jf,hususani kenya forums,huwa mnatumiss?.

tukiwaambia kuwa kenya forum bila sisi watz kuichangamsha huwa "inabore", huwa mnabisha.

Humu JF kuna wanachama wa jadi,tokea enzi zile,mmojawepo huyu Askari Kanzu,zama zile kabla wewe kadoda11 hujahamia Kenya kiharamu...😀😀!
Zama zile ulipokua kule uswahilini ukiwaogopa wakenya na kuwapa heshima stahiki.
Leo hii unaishi Kenya tena kwa kujificha kiharamu kabisa ,umepata jeuri na uelewa mdogo wa lugha ya malkia basi kila kukicha ni kufungua kibakuli chako hicho kwa mambo ya hovyo ilmradi uonekane nawe upo upo...ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata!

Alamsiki!
 
Humu JF kuna wanachama wa jadi,tokea enzi zile,mmojawepo huyu Askari Kanzu,zama zile kabla ewe zumbekuku kadoda11 hujahamia Kenya kiharamu...😀😀!
Zama zile ulipokua unawaogopa wakenya na kuwapa heshima stahiki.
Leo hii umeishi Kenya tena kwa kujificha kiharamu umepata jeuri na uelewa mdogo wa lugha ya malkia basi kila kukicha ni kufungua kibakuli chako hicho kwa mambo ya hovyo ilmradi uonekane nawe upo upo...ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata!

Alamsiki!
hayo sasa masimango mkuu.

si ni nyinyi mmekuwa mnawasema watz kuwa hawapo exposed na maisha ya nje ya tz?.

leo hii mtz anapotoka nje ya mipaka yake kupata experience ya maisha nchi nyingine,inakuwa shida kwa mkenya.
 
Haina shida, hata redio za dini zinatangazia watu wa dini yake tu. Sioni kama kuna ubaya mtu akipata matangazo ya redio au runinga kwa lugha yake.
kadoda11 na hawa watz wengine wanafaa kujua nqa kuelewa maana ya ukabila. Station inporusha matangazo yake kwa lugha fulani ya kiasili, hilo si ukabila. Ukabila ni pale kuna chuki baina ya makabila. Kama hizo vituo vya habari vinaeneza chuki, basi huo ndio ukabila, lakini kama hazifanyi hivyo (and by the way, baada ya 2007, ziko very monitored), shida iko wapi?
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

wewe huna lolote,jibu nililokupa pale juu limekuacha na aibu maana hukutegemea.

hiyo ndio shida ya kukurupuka kuweka comment bila kufanya uchunguzi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Whaaat! Aibu gani? Ati unasema nimekurupuka kuweka comment na ni wewe umefungua thread kucelebrate ati journalists wenyu wamepostiwa humu.......what are u talking abbout?

Ati jibu limeniacha na aibu........tchaa!
 
secta ya habari nchini tanzania inazidi kukua kila siku.

safari hii,kituo kikubwa cha runinga chenye makao yake makuu jijini dar es salaam,kimetuma reporter maaulum wa kuripoti yanayojiri katika uchaguzi nchini kenya.
62d115c103b9a9bde895c2dc16d2f7b8.jpg
d23384fce0614297a6d49cf80936b71e.jpg
66ea8ae35d0cf10029c4fc6dc37d335f.jpg
61e988a9f35a9f556f4e8decfa6863d2.jpg
mtangazaji mahiri wa Azam TV,mwanadada Ivona Kamuntu alipokuwa anafanya mahojiano na watu mbalimbali jijini nairobi mapema leo.

NB:watani zetu najua mtatoa povu maana mlishawahi kulalamika eti watz wanafatilia sana masuala "yenyu".
sisi wala hatujari,HAPA KAZI TU.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binafsi namkumbali zaidi Hassan M Hassan wa TBC hua anatia nanga Kenya sana sana Nairobi tangu uchaguzi wa 2007 na wa 2013, natumaini na huu wa 2017 atatia nanga na kutuhabarisha yatayokua yanajiri huko...jamaa ana kipaji
 
Haya hongera ila kwa kweli basi mlikua nyuma sana, muda wote huu nilikua najua vyombo vyenu vya habari huwa vina wanahabari wanaotoka nje kukusanya taarifa. Yaani hata kwenye nchi za jirani zenu hamkua na wanahabari wanaofika.

Ama kwa kweli nini huwa kinawachelewesha Watanzania, huwa mnalaumu vitu vingi ikiwemo Mjerumani aliyewakoloni, mara ujamaa wa Nyerere, mara vita vya Kagera na mambo mengine mengi. Miaka 50 ya uhuru baadaye ndio mnaanza kuchomoza kichwa hadi hata kumtoa mwanahabari nje ya nchi inakua sherehe....hehehehe jameni.

Inafaa muanze kujiamini na kujitia jeuri, mtoke jameni ili kupanua uwezo wa kufikiri na kuona mengine zaidi ya Dar.
Sisi Wakenya tunakatiza Afrika yote utadhani shamba la bibi yetu. Kama ni suala la wanahabari kutoka ndio usipime, fuata makala ya "Daring Abroad - By Alex Chamwada", jinsi amezunguka dunia akikusanya taarifa za Wakenya ambao wanafanya yao nje ya nchi na kutuma hela nyumbani.
Sio kweli kwamba ndio wanaanza kutoka babu,TBC walikuwepo uchaguzi wa 2007 na pia 2013 walikuwepo, nadhani na huu pia watakuwepo kutujuza kinachojiri huko..
 
Chakushangaza starmedia dish tanzania ni jipu na waliopo hawana nia ya kuendeleza campun.

Iweje kipindiki hiki cha uchaguzi star media dish wasiwe na channel hata moja ya kenye..huu ni ujinga saana

Wameweka machamnel zaidi ya 30 ya uganda.wameshindwa kuweka hata channel moja ya kikenya

Hongera azam kwa kutuma mtazamaji ..ni media mnayojali matakwa ya client wenu

Jirani zenu startimes hawajitambui.wanafanya biashara za mazoea
Mkuu Startimes utapata hizi habari kupitia ITV na TBC japo wao watakwenda mwezi wa nane kwenye uchaguzi na sio kwenye huu mchujo wa vyama kupata wagombea kama walivyowai Azam
 
Sio kweli kwamba ndio wanaanza kutoka babu,TBC walikuwepo uchaguzi wa 2007 na pia 2013 walikuwepo, nadhani na huu pia watakuwepo kutujuza kinachojiri huko..

Babu mnajitekenya wenyewe maana mumeleta uzi wa kusheherekea kwamba mumefaulu kuwafikisha wana habari Kenya, halafu wenyewe mnahangaika kutuambia hao sio wa kwanza.
 
Ouch, how is this an accomplishment? Kumbe kutuma wanahabari Loliondo ilikuwa ushindi?
 
Babu mnajitekenya wenyewe maana mumeleta uzi wa kusheherekea kwamba mumefaulu kuwafikisha wana habari Kenya, halafu wenyewe mnahangaika kutuambia hao sio wa kwanza.
Ni kweli sio wa kwanza, ITV na TBC hua wanakuwepo nakumbuka vyema 2007 na 2013,.kwa Azam tv ndio mara ya kwanza kuleta watangazaji kwa ajili ya uchaguzi...
 
kadoda11 na hawa watz wengine wanafaa kujua nqa kuelewa maana ya ukabila. Station inporusha matangazo yake kwa lugha fulani ya kiasili, hilo si ukabila. Ukabila ni pale kuna chuki baina ya makabila. Kama hizo vituo vya habari vinaeneza chuki, basi huo ndio ukabila, lakini kama hazifanyi hivyo (and by the way, baada ya 2007, ziko very monitored), shida iko wapi?

Whaaat! Aibu gani? Ati unasema nimekurupuka kuweka comment na ni wewe umefungua thread kucelebrate ati journalists wenyu wamepostiwa humu.......what are u talking abbout?

Ati jibu limeniacha na aibu........tchaa!

Babu mnajitekenya wenyewe maana mumeleta uzi wa kusheherekea kwamba mumefaulu kuwafikisha wana habari Kenya, halafu wenyewe mnahangaika kutuambia hao sio wa kwanza.

Ouch, how is this an accomplishment? Kumbe kutuma wanahabari Loliondo ilikuwa ushindi?
wakenya mnanichekesha sana.
tangu juzi nilipo anzisha thread hii,mlikuja kwa pupa kudai kwamba ni thread isiyo na hadhi ya kuwekwa hapa.

ajabu ni kwamba mnarudi kila mara ku- comment na kufanya thread yangu izidi ku- trend na hatimaye kuniongezea viewers. asanteni sana kwa bidii "yenyu".
 
wakenya mnanichekesha sana.
tangu juzi nilipo anzisha thread hii,mlikuja kwa pupa kudai kwamba ni thread isiyo na hadhi ya kuwekwa hapa.

ajabu ni kwamba mnarudi kila mara ku- comment na kufanya thread yangu izidi ku- trend na hatimaye kuniongezea viewers. asante ni sana kwa bidii "yenyu".

Mbona huja quote Watanzania ambao pia wanakushangaa humu. Halafu angalia kwa makini mimi nawajibu wanaoni quote.
 
Mbona huja quote Watanzania ambao pia wanakushangaa humu. Halafu angalia kwa makini mimi nawajibu wanaoni quote.
chunguza vizuri,watz unaodai "wananishangaa", niliwajibu vizuri na wameelewa ndio maana huoni wakiendelea kushangaa.

kwanini hii thread inawafanya mtoe povu namna hii?.

au mnahofia journalist wetu watafanya mahojiano na wakaazi wa slums?.[emoji23] [emoji23]
 
Funny guy this kadoda11! Ati u did this for "trends" sake realy? Knowing u, you surely wldnt do that at the expense of your country's honour.
Anyway...I guess akina Geza and Annael would realy want to kick your teeth in for this...ha ha!

Goodmorning!
 
Back
Top Bottom