Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

comrade hii image hata mimi pamoja na unyang'au wangu,inaniogopesha.pure reptilian shit right there.

yule mkenya ana kila sababu ya kuogopa kukutazama usoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa nani anapenda kuangalia shetani, huyu jamaa anaeza kua ni mla watu
 
Unataka zipostiwe hapa ili iweje? Tafuta hizo vifaa vya Bamba Tv na Wananchi group (Zuku TV) online. Acha kusumbua watu na mambo zisizo na tija.
Hahahhahahahahah 😱😀😀😀😀😀😀 Kukubali unakubali ila moyo unakataa
 
i took these photos today at azam tv uhai studio while i was there for a business meeting with one of the program directors.i felt like i was at a CNN headquarter.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
30544324bb6becf3b2a9c57e32d18672.jpg
d98ef39424afadc3285a9122d361bd27.jpg
f4ff094e06bfd4494e65d7df24776170.jpg
7ccc5da27727a1e302beecba23305ef3.jpg
435b11e51a83af1255ddb64574249bd7.jpg
 
Wanataka kucheza na azam tv heheheeheheheh watu wanaonesha football games wakitumia mitambo yao unafkiri mchezo
 
Nimeskia raila kapita kwenye muungano cha nasa safarii hii uhuru kenyatta kazi anayo na safari hii akianzisha vita anahusika the hegue vizuri kabisa
 
Unataka zipostiwe hapa ili iweje? Tafuta hizo vifaa vya Bamba Tv na Wananchi group (Zuku TV) online. Acha kusumbua watu na mambo zisizo na tija.
wewe "nilishakunyorosha" hapo chini ulipokuja na hoja yako ya kijinga kuhusu media za tz.

naona bado unajitutumua tena.safari nyingine ukija na hoja negative kuhusu tz make sure uwe umeifanyia utafiti wa kutosha ili kuepuka aibu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
pole sana buda kwa kuwa na mawazo duni.hiyo ndio shida ya kukurupuka kukomenti bila kufanya uchunguzi.shame on you.[emoji23] [emoji23]

last year during the US election,azam tv, sent its best news anchor;Charles Hilary (former BBC swahili new anchor) to cover the US election.

he had different live interviews with east africans living in US.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
06cae8382cd126bfc30cbe41947ec164.jpg
a31434e0f5c9a79674996e0a4ee4858c.jpg
49078877ca7b983092863737c8e953cc.jpg
c44a97a2dbb1493e2012a693a2d9b17e.jpg
 
[emoji23] hahaha. Hizi propaganda za wazungu kwenye movie tu ndugu usiogope. Hata hivyo ndiyo sura yangu hiyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
naelewa nakuzingua tu kuchangamsha thread.
 
wewe "nilishakunyorosha" hapo chini ulipokuja na hoja yako ya kijinga kuhusu media za tz.

naona bado unajitutumua tena.safari nyingine ukija na hoja positive kuhusu tz make sure uwe umeifanyia utafiti wa kutosha ili kuepuka aibu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Duh!
 
Nimeskia raila kapita kwenye muungano cha nasa safarii hii uhuru kenyatta kazi anayo na safari hii akianzisha vita anahusika the hegue vizuri kabisa
tuwaombee amani hawa ni jirani zetu.wakianzisha vita,tz itakuwa na mzigo mkubwa wa kupokea wakimbizi toka kenya.
 
tuwaombee amani hawa ni jirani zetu.wakianzisha vita,tz itakuwa na mzigo mkubwa wa kupokea wakimbizi toka kenya.
Sana tena ndio safari hiii akianzisha vita ajue kaegemea mlango wa the hegue
 
secta ya habari nchini tanzania inazidi kukua kila siku.

safari hii,kituo kikubwa cha runinga chenye makao yake makuu jijini dar es salaam,kimetuma reporter maaulum wa kuripoti yanayojiri katika uchaguzi nchini kenya.
62d115c103b9a9bde895c2dc16d2f7b8.jpg
d23384fce0614297a6d49cf80936b71e.jpg
66ea8ae35d0cf10029c4fc6dc37d335f.jpg
61e988a9f35a9f556f4e8decfa6863d2.jpg
mtangazaji mahiri wa Azam TV,mwanadada Ivona Kamuntu alipokuwa anafanya mahojiano na watu mbalimbali jijini nairobi mapema leo.

NB:watani zetu najua mtatoa povu maana mlishawahi kulalamika eti watz wanafatilia sana masuala "yenyu".
sisi wala hatujari,HAPA KAZI TU.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ulianzisha hii thread ambayo hata watz wenzako walisema hauna tija....wewe mwenyewe...

What is so special kadoda11 ?
Big deal? It's the first time ever a Tanzanian media house has posted a journalist to cover an event in another country!
Kisha nikatoa maoni haya.......(na sio mimi pekee yangu)
pole sana buda kwa kuwa na mawazo duni.hiyo ndio shida ya kukurupuka kukomenti bila kufanya uchunguzi.shame on you.[emoji23] [emoji23]

last year during the US election,azam tv, sent its best news anchor;Charles Hilary (former BBC swahili new anchor) to cover the US election.

he had different live interviews with east africans living in US.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
06cae8382cd126bfc30cbe41947ec164.jpg
a31434e0f5c9a79674996e0a4ee4858c.jpg
49078877ca7b983092863737c8e953cc.jpg
c44a97a2dbb1493e2012a693a2d9b17e.jpg
Kwa aibu, ukaja mbio mbio kujitetea na kutengeza mambo na habari hizi....

Mimi ni kitu gani hapo nilisema kudhalilisha seckta ya habari Tz? Wewe ndiye uliyefanya hivyo!
 
Back
Top Bottom