Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Tunaweza kua 2017 lakini nani yuko speed kwenye developments hapo ndio tukapishana sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
development ipi tanzania..wewe usifikiri sisi wajinga...hakuna development tz...yaani mkenya wa kibera anakulisha na kukulipia rent hehe...
 
Comparing Azam tv to ktn ntv citizen k24 is naive. Azam tv is pay tv service provider providing multiple channels like Zuku, dstv. ktn ntv citizen k24 are not pay tv service and provide a single or two channels at most.
Swali umelielewa lakini ?????????au unavamia tu οΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Comparing Azam tv to ktn ntv citizen k24 is naive. Azam tv is pay tv service provider providing multiple channels like Zuku, dstv. ktn ntv citizen k24 are not pay tv service and provide a single or two channels at most.
Sure. Shida ya watu walio na elimu ndogo kama @Kaduda.
 
oooh vile nyinyi huwa mnabadili njia mnaanza kuimba sifa za Kibera...hehehehehe
Ahahhahahhhahhaha kibera ni makazi sasa inapoongelewa mambo ya city lazma ihusike we VP hahhahahhahahahah
 
kumbuka azam tv ina miaka mitano tu ktk game(imeanza 2013) wakati itv imeanza tangu 1994 kama sijakosea.

hujiulizi licha ya uchanga wake,kwanini hii azam TV imekuwa gumzo kubwa EA?.kwanini isijadiliwe hiyo itv ambayo ina miaka zaidi ya 20 ktk game?c'mon bro.
 

Wewe ni mmoja ambae hautakuja kukombolewa kwa maisha yako binafsi, pole sana sisi tunaringia lugha yetu ya Kiswahili ambacho serikali yenu inachukua walim kila siku toka TZ. kwani kujua English ndo ufaham wa mambo? Iangalie dunia(waza nje ya box japo kidogo).

Ujinga umekuzidi badilikeni
 
watu wanaoishi kwa uchwawi na uganga...hehe mtakuwa na development ipi?
Leo umetoa sana povu Broo kapumzike please yasije kua mengine pumzika πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Sure. Shida ya watu walio na elimu ndogo kama @Kaduda.
 
Sikatai mkuu azam wanakuja vizuri ila kwa mtazamo wangu bado itv inakimbiza kwenye news programing hata scope yao ya coverage iko so wide na unaondoka ukiwa umeshiba,azam nawakubali kwenye sports ila news (local) bulletins ITV anawavusha,ni kweli ukongwe dawa,azam akazane zaidi kwa spidi hii karibu atamkuta
 
enda wewe ukombolewe. Tz kams hamutawai jua kiingereza basi hatuna budi kuivamis nchi yenu tuwacolonise kwa mara ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…