Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Tunaweza kua 2017 lakini nani yuko speed kwenye developments hapo ndio tukapishana sasa😀😀😀😀😀😀
development ipi tanzania..wewe usifikiri sisi wajinga...hakuna development tz...yaani mkenya wa kibera anakulisha na kukulipia rent hehe...
 
Comparing Azam tv to ktn ntv citizen k24 is naive. Azam tv is pay tv service provider providing multiple channels like Zuku, dstv. ktn ntv citizen k24 are not pay tv service and provide a single or two channels at most.
Swali umelielewa lakini ?????????au unavamia tu 😀😀😀😀
 
Comparing Azam tv to ktn ntv citizen k24 is naive. Azam tv is pay tv service provider providing multiple channels like Zuku, dstv. ktn ntv citizen k24 are not pay tv service and provide a single or two channels at most.
Sure. Shida ya watu walio na elimu ndogo kama @Kaduda.
 
itv wana ripota huko somebody Mwangi hao azam kwa itv wanangoja sana itv ina reporters all over East Africa Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi,DRC kote itv anao Waandishi sasa ndugu mleta uzi hilo kwako ukaona ni habari kutuletea humu.Itv wana weaknesses zao lukuki lakini kwa habari bado tv inayopose stiffer competition kwake haijaja!
kumbuka azam tv ina miaka mitano tu ktk game(imeanza 2013) wakati itv imeanza tangu 1994 kama sijakosea.

hujiulizi licha ya uchanga wake,kwanini hii azam TV imekuwa gumzo kubwa EA?.kwanini isijadiliwe hiyo itv ambayo ina miaka zaidi ya 20 ktk game?c'mon bro.
 
Haya hongera ila kwa kweli basi mlikua nyuma sana, muda wote huu nilikua najua vyombo vyenu vya habari huwa vina wanahabari wanaotoka nje kukusanya taarifa. Yaani hata kwenye nchi za jirani zenu hamkua na wanahabari wanaofika.

Ama kwa kweli nini huwa kinawachelewesha Watanzania, huwa mnalaumu vitu vingi ikiwemo Mjerumani aliyewakoloni, mara ujamaa wa Nyerere, mara vita vya Kagera na mambo mengine mengi. Miaka 50 ya uhuru baadaye ndio mnaanza kuchomoza kichwa hadi hata kumtoa mwanahabari nje ya nchi inakua sherehe....hehehehe jameni.

Inafaa muanze kujiamini na kujitia jeuri, mtoke jameni ili kupanua uwezo wa kufikiri na kuona mengine zaidi ya Dar.
Sisi Wakenya tunakatiza Afrika yote utadhani shamba la bibi yetu. Kama ni suala la wanahabari kutoka ndio usipime, fuata makala ya "Daring Abroad - By Alex Chamwada", jinsi amezunguka dunia akikusanya taarifa za Wakenya ambao wanafanya yao nje ya nchi na kutuma hela nyumbani.

Wewe ni mmoja ambae hautakuja kukombolewa kwa maisha yako binafsi, pole sana sisi tunaringia lugha yetu ya Kiswahili ambacho serikali yenu inachukua walim kila siku toka TZ. kwani kujua English ndo ufaham wa mambo? Iangalie dunia(waza nje ya box japo kidogo).

Ujinga umekuzidi badilikeni
 
Lewis254 naona unahangaika kurusha ngumi hewani peke yako.wanzako wote wamekukimbia.

ngoja nikupe assignment ndogo.najua wewe ni jasiri,hutoshindwa.

kuna TV station hapo kenya ina own DIGISUPER LENS?.leta picha kama ipo, kama hamna wewe ni kilaza.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
135a8c35c6c3e12f00ee98630b2899c4.jpg
2b853032a5a5ccf8fc9bb681cb4f855f.jpg

najua hujui kitu kuhusu DIGISUPER SUPER LENS,acha nikurahisishie mazingira rafiki ya ku-google.[emoji673] [emoji673] [emoji673] What is a Canon Digisuper lens and why is it $200,000+?
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Sure. Shida ya watu walio na elimu ndogo kama @Kaduda.
 
kumbuka azam tv ina miaka mitano tu ktk game(imeanza 2013) wakati itv imeanza tangu 1994 kama sijakosea.

hujiulizi licha ya uchanga wake,kwanini hii azam TV imekuwa gumzo kubwa EA?.kwanini isijadiliwe hiyo itv ambayo ina miaka zaidi ya 20 ktk game?c'mon bro.
Sikatai mkuu azam wanakuja vizuri ila kwa mtazamo wangu bado itv inakimbiza kwenye news programing hata scope yao ya coverage iko so wide na unaondoka ukiwa umeshiba,azam nawakubali kwenye sports ila news (local) bulletins ITV anawavusha,ni kweli ukongwe dawa,azam akazane zaidi kwa spidi hii karibu atamkuta
 
Wewe ni mmoja ambae hautakuja kukombolewa kwa maisha yako binafsi, pole sana sisi tunaringia lugha yetu ya Kiswahili ambacho serikali yenu inachukua walim kila siku toka TZ. kwani kujua English ndo ufaham wa mambo? Iangalie dunia(waza nje ya box japo kidogo).

Ujinga umekuzidi badilikeni
enda wewe ukombolewe. Tz kams hamutawai jua kiingereza basi hatuna budi kuivamis nchi yenu tuwacolonise kwa mara ya pili.
 
Back
Top Bottom