Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

The only azam i know is that ka juice. but i understand kuna ka football team pia if am not wrong.
Labda nikupe taarifa azam hamiliki team tanzania tu anatimu Zambia,Mozambique,Malawi na zote anaendesha kwa pesa zake na Mozambique kajenga kiwanja cha mpira kama cha tanzania, so usifkiri kwa akili yako ni juice tu kawaulize south Africa yupo huko wanamtambua
 
ichoboy nakubari kauli yako kuwa hii ni tz ya 2017.hakika 2017 sio mwaka wenye baraka kwa hawa jirani zetu.

imagine hii thread imewaogopesha,wameyeyuka kimya kimya na kuipitia mbali,kitu ambacho sio kawaida yao.

thread imewafumbua vitu ambayo hawakuwai kuvijua ktk tasnia ya media na technologia yake ambayo ndio ipo hot hivi sasa.l duniani.

facilities ambazo zilikuwa zinapatikana south Africa,Leo zinapatikana east africa,tz kupitia azam tv.

leo tunaingia siku ya pili,wameshindwa kukamilisha assignment yangu ndogo niliyowapa licha ya ahadi walizo nihaidi.

nafikiria kuwapa assignment nyingine nyepesi zaidi.
 
Huu wakati uchaguzi/siasa muda mwingi tuko busy kule kwingine twajadili mambo ya Tumbilee na Naswa ambayo wengine wetu tukisema tujadili hapa tutapata tabu sana maanake kuandika aya mzima kwa kiswahili kama hujakizoea si mzaha.
[HASHTAG]#OswailiSiMdomoChetu[/HASHTAG]
Usitarajie tuwe hapa full time...kama watarajia trolling and counter trolling kama ilivo desturi, huu sio wakati.
hata sasa hivi napita tu, nitarejea.
 
Hua wanafkiri maenedeleo kwao tu wengine wako nyuma tu hehehe Hebu soma hio projects zinaanza mwaka huu uone tanzania ilivo moto.....

Flagship projects rule the roost
 
Huu wakati uchaguzi/siasa muda mwingi tuko busy kule kwingine twajadili mambo ya Tumbilee na Naswa ambayo wengine wetu tukisema tujadili hapa tutapata tabu sana maanake kuandika aya mzima kwa kiswahili kama hujakizoea si mzaha.
[HASHTAG]#OswailiSiMdomoChetu[/HASHTAG]
Usitarajie tuwe hapa full time...kama watarajia trolling and counter trolling kama ilivo desturi, huu sio wakati.
hata sasa hivi napita tu, nitarejea.
jifunze kwanza kuandika hoja zako kwa kiswahili fasaha halafu uanzishe mjadala na mimi.kiukweli sijaelewa ulichoandika.SMH.

au kama kiswahili ni lugha ngumu kwako,andika tu kwa kingereza,
nitakujibu kwa lugha yako unayoimudu.
 
Nation media group ni the biggest in East.. Azam bado ni mtoto
 
jifunze kwanza kuandika hoja zako kwa kiswahili fasaha halafu uanzishe mjadala na mimi.kiukweli sijaelewa ulichoandika.SMH.

au kama kiswahili ni lugha ngumu kwako,andika tu kwa kingereza,
nitakujibu kwa lugha yako unayoimudu.
Actually being misunderstood is what I was talking about.
If you didnt understand then my point is already home...hahaa.
 
kweli anaanzisha mwendo kwa mataifa maskin. yaani Ldc countries tu
Sasa nioneshe nchi yenye uchumi wa kati ambayo below poverty line ni 46% zaidi ya Kenya 😀😀mm nilikwambia uchumi wenu wa kati uko kwenye karatasi sio uhalisia....
 
ichoboy nakubari kauli yako kuwa hii ni tz ya 2017.hakika 2017 sio mwaka wenye baraka kwa hawa jirani zetu.

imagine hii thread imewaogopesha,wameyeyuka kimya kimya na kuipitia mbali,kitu ambacho sio kawaida yao.

thread imewafumbua vitu ambayo hawakuwai kuvijua ktk tasnia ya media na technologia yake ambayo ndio ipo hot hivi sasa.l duniani.

facilities ambazo zilikuwa zinapatikana south Africa,Leo zinapatikana east africa,tz kupitia azam tv.

leo tunaingia siku ya pili,wameshindwa kukamilisha assignment yangu ndogo niliyowapa licha ya ahadi walizo nihaidi.

nafikiria kuwapa assignment nyingine nyepesi zaidi.
Just in the news, now, Hunger and desperation in Tanzania, Tanzania resident reporter updates us
Capture10.JPG
 
Huu wakati uchaguzi/siasa muda mwingi tuko busy kule kwingine twajadili mambo ya Tumbilee na Naswa ambayo wengine wetu tukisema tujadili hapa tutapata tabu sana maanake kuandika aya mzima kwa kiswahili kama hujakizoea si mzaha.
[HASHTAG]#OswailiSiMdomoChetu[/HASHTAG]
Usitarajie tuwe hapa full time...kama watarajia trolling and counter trolling kama ilivo desturi, huu sio wakati.
hata sasa hivi napita tu, nitarejea.
Vizuri malizenu uchaguzi huku msisahau mko kwenye janga la njaa alafu tunasubiri kuona vita baada ya uchaguzi as usual🙂🙂😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom