Mhe McAmacy
Senior Member
- Oct 14, 2016
- 143
- 174
At last jamaa wamepata cha kujivunia, wape nafasi.Sportpesa just entered Spain..na hatuna kelele..azam kuingia Kenya kelele za vuvuzela zinajaa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At last jamaa wamepata cha kujivunia, wape nafasi.Sportpesa just entered Spain..na hatuna kelele..azam kuingia Kenya kelele za vuvuzela zinajaa hapa
Kwenye ukweli unasema ukweli hata kama huna sema sina😀😀At last jamaa wamepata cha kujivunia, wape nafasi.
Labda nikupe taarifa azam hamiliki team tanzania tu anatimu Zambia,Mozambique,Malawi na zote anaendesha kwa pesa zake na Mozambique kajenga kiwanja cha mpira kama cha tanzania, so usifkiri kwa akili yako ni juice tu kawaulize south Africa yupo huko wanamtambuaThe only azam i know is that ka juice. but i understand kuna ka football team pia if am not wrong.
Mzee wa iPhone 7 mbona anatoa sana povuu kuna usalama kweli😀😀😀😀😀😀
Kwan BBC inamtangaza kila mmoja jambo la kawaida sana Mr wanjala toa points zinazoelewekaKenyan politics is international news, no wonder Azam never wanted to be left behind, hii ni nomination to hata siasa zenyewe bado, till August International Media is already full with Kenya news
View attachment 502128 View attachment 502129
ichoboy nakubari kauli yako kuwa hii ni tz ya 2017.hakika 2017 sio mwaka wenye baraka kwa hawa jirani zetu.Labda nikupe taarifa azam hamiliki team tanzania tu anatimu Zambia,Mozambique,Malawi na zote anaendesha kwa pesa zake na Mozambique kajenga kiwanja cha mpira kama cha tanzania, so usifkiri kwa akili yako ni juice tu kawaulize south Africa yupo huko wanamtambua
Huu wakati uchaguzi/siasa muda mwingi tuko busy kule kwingine twajadili mambo ya Tumbilee na Naswa ambayo wengine wetu tukisema tujadili hapa tutapata tabu sana maanake kuandika aya mzima kwa kiswahili kama hujakizoea si mzaha.ichoboy nakubari kauli yako kuwa hii ni tz ya 2017.hakika 2017 sio mwaka wenye baraka kwa hawa jirani zetu.
imagine hii thread imewaogopesha,wameyeyuka kimya kimya na kuipitia mbali,kitu ambacho sio kawaida yao.
thread imewafumbua vitu ambayo hawakuwai kuvijua ktk tasnia ya media na technologia yake ambayo ndio ipo hot hivi sasa.l duniani.
facilities ambazo zilikuwa zinapatikana south Africa,Leo zinapatikana east africa,tz kupitia azam tv.
leo tunaingia siku ya pili,wameshindwa kukamilisha assignment yangu ndogo niliyowapa licha ya ahadi walizo nihaidi.
nafikiria kuwapa assignment nyingine nyepesi zaidi.
Hua wanafkiri maenedeleo kwao tu wengine wako nyuma tu hehehe Hebu soma hio projects zinaanza mwaka huu uone tanzania ilivo moto.....ichoboy nakubari kauli yako kuwa hii ni tz ya 2017.hakika 2017 sio mwaka wenye baraka kwa hawa jirani zetu.
imagine hii thread imewaogopesha,wameyeyuka kimya kimya na kuipitia mbali,kitu ambacho sio kawaida yao.
thread imewafumbua vitu ambayo hawakuwai kuvijua ktk tasnia ya media na technologia yake ambayo ndio ipo hot hivi sasa.l duniani.
facilities ambazo zilikuwa zinapatikana south Africa,Leo zinapatikana east africa,tz kupitia azam tv.
leo tunaingia siku ya pili,wameshindwa kukamilisha assignment yangu ndogo niliyowapa licha ya ahadi walizo nihaidi.
nafikiria kuwapa assignment nyingine nyepesi zaidi.
jifunze kwanza kuandika hoja zako kwa kiswahili fasaha halafu uanzishe mjadala na mimi.kiukweli sijaelewa ulichoandika.SMH.Huu wakati uchaguzi/siasa muda mwingi tuko busy kule kwingine twajadili mambo ya Tumbilee na Naswa ambayo wengine wetu tukisema tujadili hapa tutapata tabu sana maanake kuandika aya mzima kwa kiswahili kama hujakizoea si mzaha.
[HASHTAG]#OswailiSiMdomoChetu[/HASHTAG]
Usitarajie tuwe hapa full time...kama watarajia trolling and counter trolling kama ilivo desturi, huu sio wakati.
hata sasa hivi napita tu, nitarejea.
Actually being misunderstood is what I was talking about.jifunze kwanza kuandika hoja zako kwa kiswahili fasaha halafu uanzishe mjadala na mimi.kiukweli sijaelewa ulichoandika.SMH.
au kama kiswahili ni lugha ngumu kwako,andika tu kwa kingereza,
nitakujibu kwa lugha yako unayoimudu.
kweli anaanzisha mwendo kwa mataifa maskin. yaani Ldc countries tuMfano wa kuigwa, Azam muanzisha mwendo!
Sasa nioneshe nchi yenye uchumi wa kati ambayo below poverty line ni 46% zaidi ya Kenya 😀😀mm nilikwambia uchumi wenu wa kati uko kwenye karatasi sio uhalisia....kweli anaanzisha mwendo kwa mataifa maskin. yaani Ldc countries tu
Just in the news, now, Hunger and desperation in Tanzania, Tanzania resident reporter updates usichoboy nakubari kauli yako kuwa hii ni tz ya 2017.hakika 2017 sio mwaka wenye baraka kwa hawa jirani zetu.
imagine hii thread imewaogopesha,wameyeyuka kimya kimya na kuipitia mbali,kitu ambacho sio kawaida yao.
thread imewafumbua vitu ambayo hawakuwai kuvijua ktk tasnia ya media na technologia yake ambayo ndio ipo hot hivi sasa.l duniani.
facilities ambazo zilikuwa zinapatikana south Africa,Leo zinapatikana east africa,tz kupitia azam tv.
leo tunaingia siku ya pili,wameshindwa kukamilisha assignment yangu ndogo niliyowapa licha ya ahadi walizo nihaidi.
nafikiria kuwapa assignment nyingine nyepesi zaidi.
Vizuri malizenu uchaguzi huku msisahau mko kwenye janga la njaa alafu tunasubiri kuona vita baada ya uchaguzi as usual🙂🙂😀😀😀😀Huu wakati uchaguzi/siasa muda mwingi tuko busy kule kwingine twajadili mambo ya Tumbilee na Naswa ambayo wengine wetu tukisema tujadili hapa tutapata tabu sana maanake kuandika aya mzima kwa kiswahili kama hujakizoea si mzaha.
[HASHTAG]#OswailiSiMdomoChetu[/HASHTAG]
Usitarajie tuwe hapa full time...kama watarajia trolling and counter trolling kama ilivo desturi, huu sio wakati.
hata sasa hivi napita tu, nitarejea.