Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Hongereni Azam
 

My Friend you are sick, come utembee Kenya, Kenya sio Tanzania ambayo ni Mwanza Arusha Dar is Slum, Kenya is a Transitional Economy all parts of Kenya are developed with electricity, piped water and all needed amenities

Just a sneak preview, this is Meru in Kenya


 
wanjala(njala kwa lugha ya kabila langu la wangoni wa tz ni njaa,so wanjala ni mtu mwenyewe njaa),naona unajaribu kupita njia ya mkato ili kukwepa hoja msingi.

picha za majengo au madhari nzuri ya Nairobi zipeleke kwa ile thread maridhawa ya comrade Annael ,utakutana na klkijana wangu matata ichoboy01 na wengine wengi watakujibu kwa kukuwekea majengo na mandhari nzuri ya dar,arusha,mwanza nk.

hapa tunajadili masuala yanayohusiana na electronic media kwa upande wa TV stations za EA.

siku kadhaa zilizopita niliwapa wakenya assignment ndogo inayohusu digisuper lens,mmeshindwa kukamilisha.

nikaongeza tena assignment nyingine ndogo inayohusu advanced outside broadcasting facilities(ob truck and ob luxury buses).nayo pia mmeshindwa.

sasa kama wewe ni Mkenya jasiri,kamilisha kwanza hizo assignment halafu uanze kupost picha za majengo ya nairobi.usipofanya hivo,wewe ni kilaza.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

assignment zote zipo attached hapa chini,use it for reference.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


 
Wanjala usibadili mada pleaseπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wakati mwengine kwenye ukweli kubali ukweli wanjalaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Wapi digisuper lens, wapi studio za kupambana na azam, wapi modern media facilities??????
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Swali rahis kwako, je hivi Media yetu ingekuwa ina leta Habari across the globe kama haina vifaa?? Azam kuja tu Kenya ni kitu ajab, Ndio SA mtafika lini?? If you want to know, Watch programs like African Journal, Africa Maharishi on KTN, they report live from all over Africa. Mara Nyingine Fikirieni, Yaani lazima vifaa vifanane?? Mimi sina Picha ya vifaa vyao, lakini Kama huwa wanaleta habari miaka hiyo yote na nyinyi Azam haiwezi ina maana wanazo ajab kuliko hii yenu ya Azam.

Kenya Broadcasts live even from Somalia and Egypt, Can Azam do that???
 

wanjala (mtu mwenye njaa),acha nikufundishe jambo dogo ambalo hulijui ktk media technology.

TV zenyu kuripoti habari live toka nchi zingine sio jambo kubwa la kushangaza kwa mtu ambaye yupo ktk field ya broadcast engineering au kwa mtu mwenye taaluma ndogo ya masuala ya utangazaji.

ni suala la kupokea clean feed tu toka ktk source nyingine na kui-link na na TV channel husika.

azam TV huwa wanapokea live
fresh feed ya league kuu ya mpira wa miguu ya uhisipania(la liga) na kutangaza la liga live games kwa lugha adhimu ya kiswahili.

wakati wewe unajisifu TV zenyu ku-broadcast live toka somalia na Egypt,azam TV ina-broadcast kwa kiswshili la liga live games toka miji ya madrid na Barcelona na miji mingine mashuhuri huko hispania.
[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]


anyway usitupotezee mda,tunataka picha tofauti za digisuper lens ikitumika kenya.

tunaka picha za advanced OB truck za TV za kenya.

tunataka picha za luxury ob buses za TV za kenya.

Tahadhari: usilete picha za ob van.
 
Sio ajabu umeskia lakini tatizo ni kua usikatae kua azam studio ndio the modern studio in east and central Africa na usikatae kua azam media facilities ziko advance kuliko zenu ni hivo tu ndugu wanjala
Alafu wanjala kama ulikua hujui azam na dstv wako katika mvutano england juu ya kuonesha English premium league .. Na azam ndio media ya kwanza Africa kuwania kitu kama hicho dhidi ya dstv hahahhaha so kua mpoleοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Leta picha ulizoombwa ulete hapa
 
Ivi huo ukabila kenya upoje
Tanzania naweza kwenda Mbeya nikakaa miaka wala siulizwi kabila langu
nilishangaa siku moja MOTOCHINI anasema
Kenya kila Kabila lina Redio yake
hii nikweli?
Zuwenna mm nimependa hapo ulipotaja Mbeya. Km upo Mbeya naomba nikuone
 
anajisifu ati TV zao zina broadcast live toka somalia na Egypt.

nimemwambia azam tv ina broadcast live la liga games kwa lugha kiswahili toka miji ya Barcelona,madrid na miji mingine mikubwa huko Hispania.

nimemuwekea na uthibitisho wa promos za laliga games zinazotangazwa na azam tv kupitia official page yao ya facebook.

nadhani atakuwa anatafakari sana huko aliko.hii ndio tz ya 2017.hapa kazi tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38]
 
Vichwa vinawapiga shotiοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€
 
Nooooooo mwongo wewe sky sports ndio huwa wanabrodcast most of the European football nyinyi wengine mnanunua
 
Ligi yenu hapo tu wenyewe mmeshindwa ku broadcast hadi kaburu awapige taf huku huyo kaburu kapigwa za uso azam mwenyewe anarusha kitu live na kwa quality ya maana
 
Hahaha halaf usidhan watu hawajazunguka huko ukiachana na hivo vi hotel miji mingi huko nje ya nairobi mapori tu na mashamba vi mji vimejaa majengo yamechoooka
 
Nooooooo mwongo wewe sky sports ndio huwa wanabrodcast most of the European football nyinyi wengine mnanunua
hivi umeelewa nililicho kizungumza hapo juu?,au umekurupuka kutoa comment kama kawaida yenu wakenya?.


rudia tena kusoma vizuri comment yangu.nina hakika hujaielewa.umekurupuka kijana .

NB:
leteni picha za digisuper lens ikiwa inatumika katika broadcasting environment ya Kenya.(kumbuka nimekuwa nikiwadai hii kitu kwa wiki moja sasa).

leteni picha za advanced ob truck ya TV za kenya.azam tv wanayo moja kubwa sana.

Leteni picha za luxury ob buses za TV station za kenya.azam tv wanazo mbili, ziko poa sana.

Bonus:
azam TV kwa tz(inawezekana kwa EA yote) ndio TV station peke yenye haki ya ku- broadcast live la liga matches kwa lugha ya kiswahili.
 
Amevamia chaka kama yule mwenzake kalikumbatia Bomu sasa linamuendesha mbioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Amevamia chaka kama yule mwenzake kalikumbatia Bomu sasa linamuendesha mbioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Enyewe hapa ni delusional Danganyikans only!! Kericho pekee ilitoa Mwanza, Dodoma, Tanga combined kwenye ligi!
 
Enyewe hapa ni delusional Danganyikans only!! Kericho pekee ilitoa Mwanza, Dodoma, Tanga combined kwenye ligi!
wanjala (mtu mwenye njaa),
umekurupuka buda,nadhani umepost comment yako ktk wrong thread.
kericho,mwanza na dodoma inaingiaje ktk hii thread?.

unahitaji kupata mda wa wiki tatu au zaidi wa kupumzisha akili yako kwa kukaa kando na JF.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Annael na ichoboy01 mpeni ushauri huyu jamaa,anaelekea kuchanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…