Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Bado unajivunia camera ya Sh 20 million na unajiita umechanuka
 
Bado unajivunia camera ya Sh 20 million na unajiita umechanuka
yah najivunia tena sana maana tv za kenya haziwezi afford kununua camera kama ile yenye gharama ya $200000.

hiyo pesa si haba, inaweza lisha wakazi wote wanaoshi ktk slums za kibera na mathare.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
20 million??????? Citizen wanalipwa iyo na advert moja tu
 
They don't need that...that's not the best camera btw its not even top 10
seems you didn't fathom what I taught you last few days,I repeat it for the last time, digisuper is not a camera,it's a camera lens.
 
Kwanini unachanganya mada!!
 
Edward Wanjala,inside azam TV decoder are 6 kenyan TV stations.

kwa mtz mwenye decoder ya azam TV na mwenye interest ya kufatilia content za TV za kenya,kwake huwa ni rahisi sana,anapata channel 6 za kenya including KBC ,KTN,K24,NTV,Citizen Tv,Kass TV and more than 80 international + local channels for an affordable price of tsh28000 (ksh1295) per month.

ndio maana nikakwambia huo mkutano wa Rwanda ulionyeshwa live na KTN,kulikuwa hakuna ulazima wa kuonyeshwa na azam tv,kwa sababu within azam TV decoder there is KTN.

na hizi ndio channel 6 za kenya ndani ya decoder azam.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanini unachanganya mada!!
hahahahaha,
anajaribu kuhamisha magoli....hiyo issue aliyozungumza hapo alitakiwa aizungumze kule kwenye ile topic yetu nyingine.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Good zuku has those EaTV na clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…