Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

my friend wanjala(mtu mwenyewe njaa)
sio kila tukio linaloendelea EA lazima lionyeshwe na azam TV per se.

mbona ligi kuu ya Rwanda huonyeshwa na azam TV since 2014 na hatupigi makelele.

KTN ya kenya ambayo inaonyesha huo mkutano live, ni moja kati ya TV channel inayopatikana ndani ya decoder ya azam TV,that means kama kuna mtz ambaye ana interest za kufatilia huo mkutano,anaweza kuutazama kupitia KTN ndani ya decoder ya azam tena kwa gharama nafuu mno.

hope umenielewa vizuri.kama hujanielewa nitatenga dakika kadhaa kurejea maelezo yangu.

NB.
halafu naungana na Annael na ichoboy01 kwa kukuita wewe mshamba,inaonekana teknolojia ya ku-live stream umeijua juzi,maana inakuzuzua sana.

siku hizi live streaming is not a big deal,hata Mimi hapa nilipo kwa kutumia smartphone yangu, naweza nika-live stream toka hapa nilipo via my accounts in Facebook,instagram au Twitter na ulimwengu wote ukaniona.
Bado unajivunia camera ya Sh 20 million na unajiita umechanuka
 
Bado unajivunia camera ya Sh 20 million na unajiita umechanuka
yah najivunia tena sana maana tv za kenya haziwezi afford kununua camera kama ile yenye gharama ya $200000.

hiyo pesa si haba, inaweza lisha wakazi wote wanaoshi ktk slums za kibera na mathare.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
20 million??????? Citizen wanalipwa iyo na advert moja tu
 
Yaani kujuzua ulimwengu mambo yanavyo endelea, TV za Kenya Zinanzingatia kujuza mambo ya dunia nzima kwa Watu wa Kenya ambao upeo wao ni kimataifa.
Ukiniuliza hivi nilikuwa naona mambo ya Dar Kwenye KTN, nimeona Oysterbay ni kadhalika, kumbe nyinyi hutudanganya na vipicha hapa. Oysterbay hiyo na githurai hamna tofauti
View attachment 507319
Kwanini unachanganya mada!!
 
Edward Wanjala,inside azam TV decoder are 6 kenyan TV stations.

kwa mtz mwenye decoder ya azam TV na mwenye interest ya kufatilia content za TV za kenya,kwake huwa ni rahisi sana,anapata channel 6 za kenya including KBC ,KTN,K24,NTV,Citizen Tv,Kass TV and more than 80 international + local channels for an affordable price of tsh28000 (ksh1295) per month.

ndio maana nikakwambia huo mkutano wa Rwanda ulionyeshwa live na KTN,kulikuwa hakuna ulazima wa kuonyeshwa na azam tv,kwa sababu within azam TV decoder there is KTN.

na hizi ndio channel 6 za kenya ndani ya decoder azam.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
b79f2b71a1b6a8eb78d04b821fc99dba.jpg
e89acb97fb4fd7edcb8b0608de89237f.jpg
 
Kwanini unachanganya mada!!
hahahahaha,
anajaribu kuhamisha magoli....hiyo issue aliyozungumza hapo alitakiwa aizungumze kule kwenye ile topic yetu nyingine.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Edward Wanjala,inside azam TV decoder are 6 kenyan TV stations.

kwa mtz mwenye decoder ya azam TV na mwenye interest ya kufatilia content za TV za kenya,kwake huwa ni rahisi sana,anapata channel 6 za kenya including Kbc ,KTN,kt24,ntv,citizen TV,kass TV and more than 80 international + local channels for an affordable price of tsh28000 (ksh1295) per month.

ndio maana nikakwambia huo mkutano wa Rwanda ulionyeshwa live na KTN,kulikuwa hakuna ulazima wa kuonyeshwa na azam tv,kwa sababu within azam TV decoder there is KTN.

na hizi ndio channel 6 za kenya ndani ya decoder azam.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
b79f2b71a1b6a8eb78d04b821fc99dba.jpg
e89acb97fb4fd7edcb8b0608de89237f.jpg
Good zuku has those EaTV na clouds
 
Back
Top Bottom