my friend wanjala(mtu mwenyewe njaa)
sio kila tukio linaloendelea EA lazima lionyeshwe na azam TV per se.
mbona ligi kuu ya Rwanda huonyeshwa na azam TV since 2014 na hatupigi makelele.
KTN ya kenya ambayo inaonyesha huo mkutano live, ni moja kati ya TV channel inayopatikana ndani ya decoder ya azam TV,that means kama kuna mtz ambaye ana interest za kufatilia huo mkutano,anaweza kuutazama kupitia KTN ndani ya decoder ya azam tena kwa gharama nafuu mno.
hope umenielewa vizuri.kama hujanielewa nitatenga dakika kadhaa kurejea maelezo yangu.
NB.
halafu naungana na
Annael na
ichoboy01 kwa kukuita wewe mshamba,inaonekana teknolojia ya ku-live stream umeijua juzi,maana inakuzuzua sana.
siku hizi live streaming is not a big deal,hata Mimi hapa nilipo kwa kutumia smartphone yangu, naweza nika-live stream toka hapa nilipo via my accounts in Facebook,instagram au Twitter na ulimwengu wote ukaniona.