kaka umeona nilivo wachapa bakora nyingi pale juu?.....imebidi tu wakimbie na sidhani kama watathubutu kurudi tena hapa.wameshikwa na aibu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nifundishe wewe
Ila serious nimeskia njaa inawaua kenya yani hali mbaya sanakaka umeona nilivo wachapa bakora nyingi pale juu?.....imebidi tu wakimbie na sidhani kama watathubutu kurudi tena hapa.wameshikwa na aibu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahaha... Kaka hiyo image inanivunja mbavu.....sipati picha hali ya wakenya wa jf huko waliko.hii thread ishakuwa chungu kwao.kila wakijaribu kuja na uongo,Mimi nawaaibisha.Naona umeamua kuwashika kwenye makende kabisa, kadoda11 utaua wakenya
View attachment 508402
Yani wanahaha na kutapatapa na hii yote ni kwamba hawaamini kuona ndio tanzania ile waliozoeahahahahaha... Kaka hiyo image inanivunja mbavu.....sipati picha hali ya wakenya wa jf huko waliko.hii thread ishakuwa chungu kwao.kila wakijaribu kuja na uongo,Mimi nawaaibisha.
nasubiri waje na uongo mwingine niendelee kuwaaibisha.
ovyo kivipi? fungukaMbona building ya headquarter ya Azam ni ovyo basi?
East Africa crazy [emoji38] [emoji38] [emoji38] ....trust me 8 out of 10 kenyans don't even know there's a thing called azam[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Mimi nadhani wewe ndio umepaniki....kiukweli siwaelewi mnataka tu-debate nini kati ya mimi na nyinyi.
mlianza na issue ya profit mkakwama,mkaja na issue ya figure mkakwama.
sasa hivi umekuja na kenya ranked third according to sijui blablabla.
azam tv has only 4 yrs in pay tv industry and drives EA region crazy.hizo mambo za ranked third kaeni nazo.sisi hazituhusu.hapa kazi tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
muulize uhuru kenyatta azam ni nani si walizuia ngano yake wakihofia ataua kampuni zote za kenya ikiwemo mombasa maize millersazam kitu gani?
kunywa maziwa ya Brookside. ni nzuri kwa afya yako pamoja na madini muhimu ya Protein.muulize uhuru kenyatta azam ni nani si walizuia ngano yake wakihofia ataua kampuni zote za kenya ikiwemo mombasa maize millers
I agree,it's also the same for jamiiforum(owned by a Tanzanian),18 kenyans out of 20 dont know jamiiforum.East Africa crazy [emoji38] [emoji38] [emoji38] ....trust me 8 out of 10 kenyans don't even know there's a thing called azam
andika tu na Kiswahili.I agree,it's also the same for jamiiforum(owned by a Tanzanian),18 kenyans out of 20 dont know jamiiforum.
surprisingly many of them are visiting it silently,register their accounts,
start new topic,involve in the ongoing conversions,last but not least engage with tanzanians.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
povu lote hili la nini kijana?...we know that you kunyans are good at throwing your verbal diarrhoea to us.[emoji23] [emoji23]kunywa maziwa ya Brookside. ni nzuri kwa afya yako pamoja na madini muhimu ya Protein.
mara ngapi ******** amejaribu kuipiga vita maziwa ya Brookside ilhali ameshindwa.
if only danganyikans could be aggressive in doing business, who knows?? danganyikans could be the Germans of Africa.
endeleeni kulala wakati munalialia tunawanyanyasa kibiashara.
si kwa ubaya bro. nimeona una struggle kweli kuandika Kiingereza mpaka nikakuonea huruma. ongea tu lugha yenye tutaelewana kwa urahisi. shukranandika kingereza