wanjala(mtu mwenye njaa) wakati unaandika hiyo habari hapo juu,ulifanya uchunguzi wa kutosha au ulikurupuka?
ulikuwa bar hapo nairobi ukinywa tusker beer baridi?...au ulikuwa unatafuna miraa ya meru?.SHM
kwanini unanipa nafasi ya kukudhalilisha kiuwepesi namna hii?.SMH.
nitaeleza kwa kiswahili chepesi kuhusu broadcasting system ya mashindano ya olympics,halafu member au wasomaji wa jf watapima wenyewe nani anaeleza ukweli.
mashindano ya olympic yakiwemo yale yaliyofanyika last year (2016) nchini Brazil,tv content zote (live and recorded content) zilikuwa zinaandaliwa(produced) na kampuni inayofamika kama OBS(olympic broadcasting services).
OBS ni nani?.
Olympic Broadcasting Services - Wikipedia
OBS ni wakala anayetumiwa na international olympic committee ku-produce live olympic content na kusambaza feed kwa local TVs stations duniani ili zionyeshe matukio yanayojiri katika viwanja vya olympic.
tv stations ikiwemo hiyo KBC ya kenya zilichofanya ni kupeleka tv reporters,cameras na microphones zao tu.
hakuna tv station yoyote duniani iliyopeleka heavy broadcasting facilities zake pale Brazil ili kuonyesha yale matukio.
ndio maana video zote zinazoonyesha matukio ya olympic kule youtube zinafanana.
kwanini?,ni kwasababu live content zote za 2016 brazil olympics
zilirekodiwa na OBS na kutoa free feed kwa tv zingine duniani ili zionyeshe.
kwa tanzania,tv iliyopewa haki ya kuonyesha live Olympics events ni azam tv, kwa kenya ni kbc.
orodha katika screenshots ipo kama hivi.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
link hii hapa:
List of 2016 Summer Olympics broadcasters - Wikipedia
NB.
siku nyingine kabla haujaamua kuandika,uwe unafanya uchunguzi kwanza,vinginevyo utakuwa unajitafutia aibu.
CC
redeemer Annael ichoboy01