kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
- Thread starter
- #1,021
mbona povu?....kuwa mpole.Kuna Kitu mwanzo sielewi hapa, Unaringishia nini hasa Kwenye uzi huu? Maybe tukuelewe? Kwamba Tz kuna TV station, Ama kwamba Azam wana Digisuper ambayo Kenya haipo, Ama kwamba, TZ Kuna digital TV, Sijaelewa unataka kuproof nini hasa, ni Channels??
najua hupendi kuona thread hii ikiendelea ku-trend.
nitakuwa narudi kila mara kuleta updates kuhusu progress ya tv stations za tanzania.na nitakuwa naku-tag ili uzidi kupata hasira.[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]