Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Wewe ni Mnyamwezi?? Maana hiyo lugha inaingiana sana na hii ya kikwetucomrade nashukuru kwa ku-observe na hatimaye kubaini uongo uliotaka kupikwa na huyo mkenya anayejiita wanjala(wanjala kwa kikwetu ni mtu mwenye njaa).
Last Olympics, KBC did not buy a stream from another company, it had its reporters, crew and machinery at Rio.
Saafi, aangalie hata world cup broadcasting system yao ipo vipi ataelewa japo ana kichwa ngumu.wanjala(mtu mwenye njaa) wakati unaandika hiyo habari hapo juu,ulifanya uchunguzi wa kutosha au ulikurupuka?
ulikuwa bar hapo nairobi ukinywa tusker beer baridi?...au ulikuwa unatafuna miraa ya meru?.SHM
kwanini unanipa nafasi ya kukudhalilisha kiuwepesi namna hii?.SMH.
nitaeleza kwa kiswahili chepesi kuhusu broadcasting system ya mashindano ya olympics,halafu member au wasomaji wa jf watapima wenyewe nani anaeleza ukweli.
mashindano ya olympic yakiwemo yale yaliyofanyika last year (2016) nchini Brazil,tv content zote (live and recorded content) zilikuwa zinaandaliwa(produced) na kampuni inayofamika kama OBS(olympic broadcasting services).
OBS ni nani?.Olympic Broadcasting Services - Wikipedia
OBS ni wakala anayetumiwa na international olympic committee ku-produce live olympic content na kusambaza feed kwa local TVs stations duniani ili zionyeshe matukio yanayojiri katika viwanja vya olympic.
tv stations ikiwemo hiyo KBC ya kenya zilichofanya ni kupeleka tv reporters,cameras na microphones zao tu.
hakuna tv station yoyote duniani iliyopeleka heavy broadcasting facilities zake pale Brazil ili kuonyesha yale matukio.
ndio maana video zote zinazoonyesha matukio ya olympic kule youtube zinafanana.
kwanini?,ni kwasababu live content zote za 2016 brazil olympics
zilirekodiwa na OBS na kutoa free feed kwa tv zingine duniani ili zionyeshe.
kwa tanzania,tv iliyopewa haki ya kuonyesha live Olympics events ni azam tv, kwa kenya ni kbc.
orodha katika screenshots ipo kama hivi.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
link hii hapa: List of 2016 Summer Olympics broadcasters - Wikipedia
NB.
siku nyingine kabla haujaamua kuandika,uwe unafanya uchunguzi kwanza,vinginevyo utakuwa unajitafutia aibu.
CC redeemer Annael ichoboy01
Man, unajifanya kujua mambo ya kugoogle na kutumia Wikipedia lakini bado, enda ujifunze zaidi kidogo! Do you know what the last column with numbers mean?? Or do you know its work??wanjala(mtu mwenye njaa) wakati unaandika hiyo habari hapo juu,ulifanya uchunguzi wa kutosha au ulikurupuka?
ulikuwa bar hapo nairobi ukinywa tusker beer baridi?...au ulikuwa unatafuna miraa ya meru?.SHM
kwanini unanipa nafasi ya kukudhalilisha kiuwepesi namna hii?.SMH.
nitaeleza kwa kiswahili chepesi kuhusu broadcasting system ya mashindano ya olympics,halafu member au wasomaji wa jf watapima wenyewe nani anaeleza ukweli.
mashindano ya olympic yakiwemo yale yaliyofanyika last year (2016) nchini Brazil,tv content zote (live and recorded content) zilikuwa zinaandaliwa(produced) na kampuni inayofamika kama OBS(olympic broadcasting services).
OBS ni nani?.Olympic Broadcasting Services - Wikipedia
OBS ni wakala anayetumiwa na international olympic committee ku-produce live olympic content na kusambaza feed kwa local TVs stations duniani ili zionyeshe matukio yanayojiri katika viwanja vya olympic.
tv stations ikiwemo hiyo KBC ya kenya zilichofanya ni kupeleka tv reporters,cameras na microphones zao tu.
hakuna tv station yoyote duniani iliyopeleka heavy broadcasting facilities zake pale Brazil ili kuonyesha yale matukio.
ndio maana video zote zinazoonyesha matukio ya olympic kule youtube zinafanana.
kwanini?,ni kwasababu live content zote za 2016 brazil olympics
zilirekodiwa na OBS na kutoa free feed kwa tv zingine duniani ili zionyeshe.
kwa tanzania,tv iliyopewa haki ya kuonyesha live Olympics events ni azam tv, kwa kenya ni kbc.
orodha katika screenshots ipo kama hivi.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
link hii hapa: List of 2016 Summer Olympics broadcasters - Wikipedia
NB.
siku nyingine kabla haujaamua kuandika,uwe unafanya uchunguzi kwanza,vinginevyo utakuwa unajitafutia aibu.
CC redeemer Annael ichoboy01
Soma hiyo link, Tanzania ni watu wa Wikipedia na hata hawajui kuitumia!!Saafi, aangalie hata world cup broadcasting system yao ipo vipi ataelewa japo ana kichwa ngumu.
wakenya ni waongo waongo sana,wanapenda kujikweza kwa vitu ambavyo hawana uwezo navyoSaafi, aangalie hata world cup broadcasting system yao ipo vipi ataelewa japo ana kichwa ngumu.
kwa hiyo hizo link ndio zinaeleza kuwa KBC walikuwa wana produce matukio ya Olympic kule brazil?[emoji23] [emoji23]Man, unajifanya kujua mambo ya kugoogle na kutumia Wikipedia lakini bado, enda ujifunze zaidi kidogo! Do you know what the last column with numbers mean?? Or do you know its work??
Citation for Kenya (KBC) holds this
Infront together with TV Media Sport secures broadcast agreements for Rio 2016 Olympic Games in eight additional territories | Infront Sports & Media AG
Citation for TZ (AZAM) Holds this
Infront agrees Rio 2016 TV deal in Tanzania
Go read carefully and if you do understand, deduce the difference
Wewe umesoma mwanzo??kwa hiyo hizo link ndio zinaeleza kuwa KBC walikuwa wana produce matukio ya Olympic kule brazili[emoji23] [emoji23]
Wewe Kadoda11, acha longlongo hapa, hata wewe ukitaka kufanya biashara pale Dar utatafuta leseni, kama si hivyo Kenya ni hivyo!! Hata kwa nyanja kama hizi lazima upate leseni!! Ndio hivyo tuwakenya ni waongo waongo sana,wanapenda kujikweza kwa vitu ambavyo hawana uwezo navyo
si umeona hapo alivyotaka kuudanganya umma wa JF kuhusu KBC na yale matangazo ya Olympic.
tv wenyewe choka mbaya haina tofauti na TBC ya tanzania halafu leo iwe na uwezo wa kupeleka facilities zake brazil[emoji23] [emoji23]
kwa hiyo hizo link ndio zinaeleza kuwa KBC walikuwa wana produce matukio ya Olympic kule brazili[emoji23] [emoji23]
Edward Wanjala najua dozi niliyokupa ni kubwa sana, imekuchangaya na bado kichwa chako hakija kaa sawa.
wakati ukitafakari kuhusu comment zangu,nakuwekea picha hapa chini.
captured this few minutes ago from my tv screen: azam tv's sport reporter, reporting (not live) from libreville-gabon during the ongoing africa U-17 cup of nations.that's a real definition of crossing borders.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tazama kwanza ulichokiandika hapo juu kwenye screenshot kuhusu KBC and 2016 olympics in Brazil halafu tuje tujadili hizo auxiliary shows/content.Official Proceedings and programs are fed from official Video and audio channels , what about auxiliary shows??
kweli ni madogo,kama KBC iliweza kusafirisha crew yake na facilities zake nchini Brazil ku-produce na ku-broadcast(sio tu ku-report) olympic events,kweli kenya ni moto wa kuotea mbali.SMH....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahhh! Hayo madogo mkuu!!! Kenya ni mambo ya kawaida sana hayo
Huu uzi wakishamba moderater naye autoe hapa!!
new tv station in town,clouds tv plus.
to be available in azam tv decoder from next month.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23]
mtaelewa tu wakenya japo mnavichwa vigumu vya kuelewa.