mbona povu?....kuwa mpole.Kuna Kitu mwanzo sielewi hapa, Unaringishia nini hasa Kwenye uzi huu? Maybe tukuelewe? Kwamba Tz kuna TV station, Ama kwamba Azam wana Digisuper ambayo Kenya haipo, Ama kwamba, TZ Kuna digital TV, Sijaelewa unataka kuproof nini hasa, ni Channels??
mbona povu?....kuwa mpole.
najua hupendi kuona thread hii ikiendelea ku-trend.
nitakuwa narudi kila mara kuleta updates kuhusu progress ya tv stations za tanzania.na nitakuwa naku-tag ili uzidi kupata hasira.[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Jamaa umejaa tu maji kwa kichwa...sasa nini hapo ya kusherekea???new tv station in town,clouds tv plus.
to be available in azam tv decoder from next month.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23]
mtaelewa tu wakenya japo mnavichwa vigumu vya kuelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washoo wakitaka developer mnoma wanicontactwalisema itaanza kupatikana kuanza Leo.nashangaa hata Mimi siioni.
Nimeona Azam wakiadvertise kwenye TV za Kenya hapa kunaenda aje? Are they coming to Kenya??sawa nitawafakishia ombi lako.
mbona wapo for a while now, their penetration is still low though. Ila maana ni kampuni ya waswahili very soon tutawapa skando ili wafungashe virago na kurudi huko tz wakaendeleze huduma mbovu huko[emoji2] [emoji90] [emoji90]Nimeona Azam wakiadvertise kwenye TV za Kenya hapa kunaenda aje? Are they coming to Kenya??
mbona wapo for a while now, their penetration is still low though. Ila maana ni kampuni ya waswahili very soon tutawapa skando ili wafungashe virago na kurudi huko tz wakaendeleze huduma mbovu huko[emoji2] [emoji90] [emoji90]
wewe endelea kutoa povu,sisi hatujari,tunazidi kusonga mbele.ni kampuni ya waswahili very soon tutawapa skando ili wafungashe virago na kurudi huko tz huko
Waambie tuna miss cnn na skynews. Pamoja na TV from Mozambique, Congo DRC, South Sudan, Zambia and Burundi especially national television.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]