Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

star tv tanzania
7.JPG
 
clouds tv tanzania
DSC09597.jpg
IMG_0125.jpg
IMG_5499.JPG
_MG_4489.JPG
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
hio ya TBC..................tanzania
tbc+px.jpg

TBC+yapata+gari+la+kisasa+la+matangazo.jpg

china.jpg
TBC ingekuwa ni TV huru isiyojihusisha na siasa za chama tawala cha ccm,nina hakika ingekuwa ni TV bora sana EA.kwa sasa imepoteza mvuto na umaarufu wake iliyokuwa nayo wakati wa tido muhando.

hii ob truck walizawadiwa na serikali ya China mwaka 2014.kwa taarifa nilizozipata hivi karibuni,
inasemekana baadhi ya vifaa vya kisasa vilivyofungwa ndani ta gari hilo, vilishaharibika na sidhani kama kuna juhudi za makusudi za kuvikarabati.
 
TBC ingekuwa ni TV huru isiyojihusisha na siasa za chama tawala za ccm,nina hakika ingekuwa ni TV bora sana EA.

hii ob truck walizawadiwa na serikali ya China mwaka 2014.kwa taarifa nilizozipata hivi karibuni,
inasemekana baadhi ya vifaa vya kisasa vilivyofungwa ndani ta gari hilo, vilishaharibika.
tatizo ni siasa nyingi ndio kinachowamaliza
 
kwa TV station za serikali sio tu TBC,hata KBC ya kenya nayo ni shida tupu,kuna wakati kama sijakosea wafanyakazi waliandamana kudai nyongeza ya mshahara.

kwa sasa sina hakika kama wakenya wanatazama KBC. Edward Wanjala atatujibu.

kwa EA Africa ni national TV ya Rwanda tu ndio inajitahidi.
 
jana wakati azam TV na clouds TV waki volunteer kuonyesha live for the whole day tukio la kuagwa miili ya wanafunzi waliofariki ktk ajari ya gari huko karatu arusha,hawa wapuuzi TBC,walikuwa wanatuonyesha video za Muziki na documentary za wanyama.SMH.

12a48fe872967b58baae013c78ab9ac9.jpg
hii picha ilipigwa mwaka 2014 wakati TBC ilipokuwa inakabidhiwa ob truck na serikali ya China.
 
Kwikwikwi wewe jamaa kichwa chako ni empty.
hivi hawa mmbwa uchaguzi wetu waliucava na TV gani? Nimeangalia maTV ya Tanzania yalivyo shusha vitu huko kwa manyang'au na sio moja dah! Tuko juu, sana.
 
usiwaite mbwa mkuu,kumbuka hawa ni jirani zetu.licha ya mapungufu yao na chuki zao za wazi kwetu,sisi kama watz tuendelee kuwaonyesha ustaarabu na upendo.

kuhusu uchaguzi wetu mwaka 2015,tv za kenya zilijitahidi sana ku-cover.unaweza ukatazama baadhi ya video nilizo ambatanisha hapa chini.
 
Sisi hatuna chuki na nyinyi. Sisi ndio tunaona mko na kachuki flani na wakenya....kuwaponda kila mara, kuwadhalilisha, na hata, kuwakejeli wanapopatwa na msiba na hata kuwaombea dua mbaya kama kutandikwa na maghaidi au kuuana baada ya uchaguzi.

Mimi binafsi sina chuki yeyote na Tz, I never did hadi ile siku ya kwanza nilipokumbana na maneno ya kejeli JF, hiyo ilikua ni baada ya Alshbb kushambulia Lamu na kuwaua wkenya wengi. Nilisikitishwa na kutamaushwa sana na comments zenu mandugu zetu. Hazikuwa mema. My sadness eventually turned into anger and indignance.....jinsi nilivyojaribu kureason na hawa watz to stop the troll, ndivyo walivozidi.

So u cannot blame some of us Kenyan's on JF towards u pipo. But most Kenyans hav nothing against u pipo.
 
hivi hawa mmbwa uchaguzi wetu waliucava na TV gani? Nimeangalia maTV ya Tanzania yalivyo shusha vitu huko kwa manyang'au na sio moja dah! Tuko juu, sana.
The worst thing u can call your fellow human being....mbwa. Dont let the hatred get this far.
 
jana wakati azam TV na clouds TV waki volunteer kuonyesha live for the whole day tukio la kuagwa miili ya wanafunzi waliofariki ktk ajari ya gari huko karatu arusha,hawa wapuuzi TBC,walikuwa wanatuonyesha video za Muziki na documentary za wanyama.SMH.

12a48fe872967b58baae013c78ab9ac9.jpg
hii picha ilipigwa mwaka 2014 wakati TBC ilipokuwa inakabidhiwa ob truck na serikali ya China.

Pamoja na haya madude hamna lolote kwenye mambo ya TV, Leo hii Mkutano wa African Smart Cities unaendelea Kigali Rwanda, Sisi Kenya tunapata live and clear from Rwanda as the meeting goes on. We don't wait to see saved clips, Are your TV's, The Azam Doing the same??? We call it Value

kagame.JPG
 
View attachment 507270
Kwikwikwikwi. Yaani live streaming ndio unaona ujanja kabisa!!? Wakati hata mimi hapa nyumbani kwangu naweza fanya hivyo.
Yaani is very simple. Uwe na TV turner connect to the decoder, then stream via (Youtube, Facebook or software for streaming)
Yaani wewe ni bonge la mshamba kweli. Issue ya watoto wadogo unakuja kuweka humu.
Sasa leta devices za TV station zenu.
 
Wewe ndio uwache ushamba, ama ni kuelewa taabu yako, mimi sijauliza kama ni rahisi ama ngumu, Swali ni je hizo stesheni zenu zaweza fanya hivyo? Licha ya hayo madude?

Hii ndio Tanzania kamili, yaani hamna upeo wakimataifa. Mnatangaziwa vitu vya kibongo tu mambo ya nje hamya jui
 
Kwikwikwi wewe ni mshamba.
1. Tanzania imewahi kuwa na katibu wa AU
2. Tanzania imewahi kuwa na katibu msaidizi wa UN

Sasa hebu sema upuuzi wako tena.
Usiilinganishe Tanzania na vitu vya kipuuzi kama Kenya.
 
Wewe ndio uwache ushamba, ama ni kuelewa taabu yako, mimi sijauliza kama ni rahisi ama ngumu, Swali ni je hizo stesheni zenu zaweza fanya hivyo? Licha ya hayo madude?

Hii ndio Tanzania kamili, yaani hamna upeo wakimataifa. Mnatangaziwa vitu vya kibongo tu mambo ya nje hamya jui
Mambo ya nje kama yapi???? Fafanua vzri
 
Mambo ya nje kama yapi???? Fafanua vzri
Yaani kujuzua ulimwengu mambo yanavyo endelea, TV za Kenya Zinanzingatia kujuza mambo ya dunia nzima kwa Watu wa Kenya ambao upeo wao ni kimataifa.
Ukiniuliza hivi nilikuwa naona mambo ya Dar Kwenye KTN, nimeona Oysterbay ni kadhalika, kumbe nyinyi hutudanganya na vipicha hapa. Oysterbay hiyo na githurai hamna tofauti
Capture.JPG
 
Pamoja na haya madude hamna lolote kwenye mambo ya TV, Leo hii Mkutano wa African Smart Cities unaendelea Kigali Rwanda, Sisi Kenya tunapata live and clear from Rwanda as the meeting goes on. We don't wait to see saved clips, Are your TV's, The Azam Doing the same??? We call it Value

View attachment 507270

my friend wanjala(mtu mwenyewe njaa)
sio kila tukio linaloendelea EA lazima lionyeshwe na azam TV per se.

mbona ligi kuu ya Rwanda huonyeshwa na azam TV since 2014 na hatupigi makelele.

KTN ya kenya ambayo inaonyesha huo mkutano live, ni moja kati ya TV channel inayopatikana ndani ya decoder ya azam TV,that means kama kuna mtz ambaye ana interest za kufatilia huo mkutano,anaweza kuutazama kupitia KTN ndani ya decoder ya azam tena kwa gharama nafuu mno.

hope umenielewa vizuri.kama hujanielewa nitatenga dakika kadhaa kurejea maelezo yangu.

NB.
halafu naungana na Annael na ichoboy01 kwa kukuita wewe mshamba,inaonekana teknolojia ya ku-live stream umeijua juzi,maana inakuzuzua sana.

siku hizi live streaming is not a big deal,hata Mimi hapa nilipo kwa kutumia smartphone yangu, naweza nika-live stream toka hapa nilipo via my social media accounts like Facebook,instagram or Twitter na ulimwengu wote ukaniona.
 
Yaani kujuzua ulimwengu mambo yanavyo endelea, TV za Kenya Zinanzingatia kujuza mambo ya dunia nzima kwa Watu wa Kenya ambao upeo wao ni kimataifa.
Ukiniuliza hivi nilikuwa naona mambo ya Dar Kwenye KTN, nimeona Oysterbay ni kadhalika, kumbe nyinyi hutudanganya na vipicha hapa. Oysterbay hiyo na githurai hamna tofauti
View attachment 507319
umepanic wanjala,hii concern yako ingefaa sana ungeipeleka kule kwa topic maridhawa ya Annael.

tutakuja kukuwekea picha/video nzuri za osterbay.achana na hizo ulizoonyeshwa na KTN.

by the way,kumbe TV zenyu kuonyesha mambo ya tz?.I thought your TV stations don't care on reporting news from bongo.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom