Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]clouds tv tanzania
![]()
![]()
![]()
![]()
TBC ingekuwa ni TV huru isiyojihusisha na siasa za chama tawala cha ccm,nina hakika ingekuwa ni TV bora sana EA.kwa sasa imepoteza mvuto na umaarufu wake iliyokuwa nayo wakati wa tido muhando.hio ya TBC..................tanzania
![]()
![]()
![]()
tatizo ni siasa nyingi ndio kinachowamalizaTBC ingekuwa ni TV huru isiyojihusisha na siasa za chama tawala za ccm,nina hakika ingekuwa ni TV bora sana EA.
hii ob truck walizawadiwa na serikali ya China mwaka 2014.kwa taarifa nilizozipata hivi karibuni,
inasemekana baadhi ya vifaa vya kisasa vilivyofungwa ndani ta gari hilo, vilishaharibika.
kwa TV station za serikali sio tu TBC,hata KBC ya kenya nayo ni shida tupu,kuna wakati kama sijakosea wafanyakazi waliandamana kudai nyongeza ya mshahara.tatizo ni siasa nyingi ndio kinachowamaliza
hivi hawa mmbwa uchaguzi wetu waliucava na TV gani? Nimeangalia maTV ya Tanzania yalivyo shusha vitu huko kwa manyang'au na sio moja dah! Tuko juu, sana.Kwikwikwi wewe jamaa kichwa chako ni empty.
usiwaite mbwa mkuu,kumbuka hawa ni jirani zetu.licha ya mapungufu yao na chuki zao za wazi kwetu,sisi kama watz tuendelee kuwaonyesha ustaarabu na upendo.hivi hawa mmbwa uchaguzi wetu waliucava na TV gani? Nimeangalia maTV ya Tanzania yalivyo shusha vitu huko kwa manyang'au na sio moja dah! Tuko juu, sana.
Sisi hatuna chuki na nyinyi. Sisi ndio tunaona mko na kachuki flani na wakenya....kuwaponda kila mara, kuwadhalilisha, na hata, kuwakejeli wanapopatwa na msiba na hata kuwaombea dua mbaya kama kutandikwa na maghaidi au kuuana baada ya uchaguzi.usiwaite mbwa mkuu,kumbuka hawa ni jirani zetu.licha ya mapungufu yao na chuki zao za wazi kwetu,sisi kama watz tuendelee kuwaonyesha ustaarabu na upendo.
kuhusu uchaguzi wetu mwaka 2015,tv za kenya zilijitahidi sana ku-cover.unaweza ukatazama baadhi ya video nilizo ambatanisha hapa chini.
The worst thing u can call your fellow human being....mbwa. Dont let the hatred get this far.hivi hawa mmbwa uchaguzi wetu waliucava na TV gani? Nimeangalia maTV ya Tanzania yalivyo shusha vitu huko kwa manyang'au na sio moja dah! Tuko juu, sana.
jana wakati azam TV na clouds TV waki volunteer kuonyesha live for the whole day tukio la kuagwa miili ya wanafunzi waliofariki ktk ajari ya gari huko karatu arusha,hawa wapuuzi TBC,walikuwa wanatuonyesha video za Muziki na documentary za wanyama.SMH.
hii picha ilipigwa mwaka 2014 wakati TBC ilipokuwa inakabidhiwa ob truck na serikali ya China.![]()
Kwikwikwikwi. Yaani live streaming ndio unaona ujanja kabisa!!? Wakati hata mimi hapa nyumbani kwangu naweza fanya hivyo.Pamoja na haya madude hamna lolote kwenye mambo ya TV, Leo hii Mkutano wa African Smart Cities unaendelea Kigali Rwanda, Sisi Kenya tunapata live and clear from Rwanda as the meeting goes on. We don't wait to see saved clips, Are your TV's, The Azam Doing the same??? We call it Value
View attachment 507270
Kwikwikwikwi. Yaani live streaming ndio unaona ujanja kabisa!!? Wakati hata mimi hapa nyumbani kwangu naweza fanya hivyo.
Yaani is very simple. Uwe na TV turner connect to the decoder, then stream via (Youtube, Facebook or software for streaming)
Yaani wewe ni bonge la mshamba kweli. Issue ya watoto wadogo unakuja kuweka humu.
Sasa leta devices za TV station zenu.
Kwikwikwi wewe ni mshamba.Wewe ndio uwache ushamba, ama ni kuelewa taabu yako, mimi sijauliza kama ni rahisi ama ngumu, Swali ni je hizo stesheni zenu zaweza fanya hivyo? Licha ya hayo madude?
Hii ndio Tanzania kamili, yaani hamna upeo wakimataifa. Mnatangaziwa vitu vya kibongo tu mambo ya nje hamya jui
Mambo ya nje kama yapi???? Fafanua vzriWewe ndio uwache ushamba, ama ni kuelewa taabu yako, mimi sijauliza kama ni rahisi ama ngumu, Swali ni je hizo stesheni zenu zaweza fanya hivyo? Licha ya hayo madude?
Hii ndio Tanzania kamili, yaani hamna upeo wakimataifa. Mnatangaziwa vitu vya kibongo tu mambo ya nje hamya jui
Yaani kujuzua ulimwengu mambo yanavyo endelea, TV za Kenya Zinanzingatia kujuza mambo ya dunia nzima kwa Watu wa Kenya ambao upeo wao ni kimataifa.Mambo ya nje kama yapi???? Fafanua vzri
Pamoja na haya madude hamna lolote kwenye mambo ya TV, Leo hii Mkutano wa African Smart Cities unaendelea Kigali Rwanda, Sisi Kenya tunapata live and clear from Rwanda as the meeting goes on. We don't wait to see saved clips, Are your TV's, The Azam Doing the same??? We call it Value
View attachment 507270
umepanic wanjala,hii concern yako ingefaa sana ungeipeleka kule kwa topic maridhawa ya Annael.Yaani kujuzua ulimwengu mambo yanavyo endelea, TV za Kenya Zinanzingatia kujuza mambo ya dunia nzima kwa Watu wa Kenya ambao upeo wao ni kimataifa.
Ukiniuliza hivi nilikuwa naona mambo ya Dar Kwenye KTN, nimeona Oysterbay ni kadhalika, kumbe nyinyi hutudanganya na vipicha hapa. Oysterbay hiyo na githurai hamna tofauti
View attachment 507319