Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

photos taken earlier today.
a state visit of south african president jacob zuma in tanzania.

live via channel number two of azam tv.
8206b2ffa0868da034e969774d58e1b1.jpg
8f452fd177d9b6af7bf76d443ccb51f9.jpg
d452a606f89843c3e8b6e6442b59bd7d.jpg

Edward Wanjala [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

updates.live on azam tv.
07981dca4648336007fbbf426f1768b5.jpg
d307bd59953069f72e0c838ca0fffcc7.jpg
 
unachange direction umesea mwenyewe unaleta profit ya tv station ya kenya nimekwambia weka official source maana tutakuumbua
huyo jamaa ni mkurupukaji kama hawa wakenya wengine akina wanjala.... namsubiri kwa hamu ajichanganye na hizo data zake za kupika.

mzee wa iphone7 alikuja na blabla kama hizo kutoka kwenye kiblog uchwara kimoja kinaitwa nairobiwire.
 
huyo jamaa ni mkurupukaji kama hawa wakenya wengine wa jf.... namsubiri kwa hamu ajichanganye na hizo data zake za kupika.

mzee wa iphone7 alikuja blabla kama hizo kutoka kwenye kiblog uchwara kimoja kinaitwa nairobiwire.
ndio maana kakimbia mbio hajarudi😀😀😀😀😀😀😀
 
Bring me end year profits za Azam nikuaibishe hapa..
i have no credible source that shows financial records or profit made by azam tv.

ngoja nikupe elimu ndogo, inaonekana hujui how broadcasting business is conducted.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
huwezi kulinganisha profit made by pay tv vs free to air tv station like citizen tv,KTN etc.

their source of income is different.while most of free to air tv stations depend on advertisement deal from safarcom,airtel or cocacola, pay tv's depend on monthly subscriptions from viewers.ukishalijua hilo hutojisumbua kudai hicho ulicjidai.

ningekuona una akili sana kama ungeniuliza ,azam tv ina subscribers wangapi tz,kenya,Rwanda,Burundi and Uganda as compared to zuku,startimes or dstv.usilinganishe azam tv na takataka kama citizen tv au KTN.kumbuka hivo v-tv station vyenyu vya Kenya vipo ndani ya decoder ya azam[emoji23] [emoji23]

Leta credible source inayoonyesha profit ya hiyo taka taka inayoitwa citizen tv,Mimi nitaleta idadi ya subscribers and photos that show azam tv's investment worth of billion shillings.

NB: usilete ule upuuzi wa nairobiwire.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Annael ichoboy01
 
Citizen iliunda app 2013 man
kutangulia sio kufika.issue ya app sio jambo kubwa.

FYI.azam tv was first tv station in EA to apply augmented reality in its shows.

it did that in 2015 while it was broadcasting live presidential eclection results across the country.

safari hii nasubiri kwa hamu nione augmented reality ikifanywa na tv za kenya wakati wa kutangaza matokeo ya urais.

but ktk historia itabaki kwamba the first tv station to use augmented reality in EA was Azam tv.

NB: najua hujui kitu kuhusu augmented reality. jielimishe hapa.[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116]
Augmented reality - Wikipedia
 
500k downloads toka 2013!! itv app iko na less than 4 months toka iwe launched na imehit 600k plus downloads
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
asante sana mdau kwa observation yako.Upo juu kama mawingu.
 
COLLOH-MZII RELOADED uko wapi dogo, umekimbia?....au ndio unatafuta end year profit ya tv za kenya?.usijisumbue,huwezi pata chanzo sahihi ya hiyo kitu.plz come back.[emoji23] [emoji23]
 
Nilikupatia revenues ya Kenya media and entertainment industry, nikakuomba uniletee za Tanzania, ukasepa. Sasa hapa wabonga kitu gani?
Sio rahisi kupata profits za individual tv channels, sana sana hizo private stations kama Azam au Citizen au KTN. Those pribate stations are not obliged by the law to divulge such info cos well, they are private entities. But we can have a clear perfomance of these stations jst from looking at the perfomance of the industry in its entirity.....so, due u have the figrues fot the Tnzania's media and entertainment industry?

Back
Top Bottom