KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Ungeanza na ya azam kwanzaweka na ulete official source maana tutakuumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeanza na ya azam kwanzaweka na ulete official source maana tutakuumbua
unachange direction umesea mwenyewe unaleta profit ya tv station ya kenya nimekwambia weka official source maana tutakuumbuaUngeanza na ya azam kwanza
huyo jamaa ni mkurupukaji kama hawa wakenya wengine akina wanjala.... namsubiri kwa hamu ajichanganye na hizo data zake za kupika.unachange direction umesea mwenyewe unaleta profit ya tv station ya kenya nimekwambia weka official source maana tutakuumbua
ndio maana kakimbia mbio hajarudi😀😀😀😀😀😀😀huyo jamaa ni mkurupukaji kama hawa wakenya wengine wa jf.... namsubiri kwa hamu ajichanganye na hizo data zake za kupika.
mzee wa iphone7 alikuja blabla kama hizo kutoka kwenye kiblog uchwara kimoja kinaitwa nairobiwire.
Citizen iliunda app 2013 manazam tv app, soon on your app store.
![]()
Mbona nimeangalia hakuna any application???Citizen iliunda app 2013 man
Acha nisake simu android nikuonyeshe saiMbona nimeangalia hakuna any application???
Ndio hii sasa....ni bundles huna amaMbona nimeangalia hakuna any application???
Bring me end year profits za Azam nikuaibishe hapa..citizen tv is a free to air channel while azam tv is a paid tv.
i have no credible source that shows financial records or profit made by azam tv.Bring me end year profits za Azam nikuaibishe hapa..
500k downloads toka 2013!! itv app iko na less than 4 months toka iwe launched na imehit 600k plus downloadsNdio hii sasa....ni bundles huna ama![]()
kutangulia sio kufika.issue ya app sio jambo kubwa.Citizen iliunda app 2013 man
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]500k downloads toka 2013!! itv app iko na less than 4 months toka iwe launched na imehit 600k plus downloads
Hehe citizen wana settop boxes zao pia then advertisements ndio major source ya income kwa TVs thats a factCOLLOH-MZII RELOADED uko wapi dogo, umekimbia?....au ndio unatafuta end year profit ya tv za kenya?.usijisumbue,huwezi pata chanzo sahihi ya hiyo kitu.plz come back.[emoji23] [emoji23]
Amechanja mbuga????????😀😀😀😀COLLOH-MZII RELOADED uko wapi dogo, umekimbia?....au ndio unatafuta end year profit ya tv za kenya?.usijisumbue,huwezi pata chanzo sahihi ya hiyo kitu.plz come back.[emoji23] [emoji23]
i have no credible source that shows financial records or profit made by azam tv.
ngoja nikupe elimu ndogo, inaonekana hujui how broadcasting business is conducted.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
huwezi kulinganisha profit made by pay tv vs free to air tv station like citizen tv,KTN etc.
their source of income is different.while most of free to air tv stations depend on advertisement deal from safarcom,airtel or cocacola, pay tv's depend on monthly subscriptions from viewers.ukishalijua hilo hutojisumbua kudai hicho ulicjidai.
ningekuona una akili sana kama ungeniuliza ,azam tv ina subscribers wangapi tz,kenya,Rwanda,Burundi and Uganda as compared to zuku,startimes or dstv.usilinganishe azam tv na takataka kama citizen tv au KTN.kumbuka hivo v-tv station vyenyu vya Kenya vipo ndani ya decoder ya azam[emoji23] [emoji23]
Leta credible source inayoonyesha profit ya hiyo taka taka inayoitwa citizen tv,Mimi nitaleta idadi ya subscribers and photos that show azam tv's investment worth of billion shillings.
NB: usilete ule upuuzi wa nairobiwire.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Annael ichoboy01