kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
- Thread starter
- #921
due u have the figrues fot the Tnzania's media and entertainment industry?
hivi ulielewa nilichozugumza ktk comment yangu au umekurupuka tu kama kawaida yenyu wakenya?.au labda kiswahili nilichotumia ni kigumu kwako kukielewa?
umejishughulisha kujua ni nani aliyeanzisha mjadala wa kudai kuonyesha profit ya tv stations?.
acheni kukurupuka wakenya mnajiaibisha.
figure ulizoniuliza hapo juu mimi sina na sitaki kuzizungumzia kwasababu sipendi kuandika vitu vya uongo ambayo sina knowledge navyo.
ila kama wewe unazo figure za media house za huko kwenyu unaweza ukazi-share hapa,hujazuiwa.
ila hakikisha unazitoa toka ktk chanzo sahihi.usilete blabla za nairobiwire au viblog uchwara vya Kenya.feel at home.