Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

due u have the figrues fot the Tnzania's media and entertainment industry?

hivi ulielewa nilichozugumza ktk comment yangu au umekurupuka tu kama kawaida yenyu wakenya?.au labda kiswahili nilichotumia ni kigumu kwako kukielewa?

umejishughulisha kujua ni nani aliyeanzisha mjadala wa kudai kuonyesha profit ya tv stations?.
acheni kukurupuka wakenya mnajiaibisha.

figure ulizoniuliza hapo juu mimi sina na sitaki kuzizungumzia kwasababu sipendi kuandika vitu vya uongo ambayo sina knowledge navyo.

ila kama wewe unazo figure za media house za huko kwenyu unaweza ukazi-share hapa,hujazuiwa.

ila hakikisha unazitoa toka ktk chanzo sahihi.usilete blabla za nairobiwire au viblog uchwara vya Kenya.feel at home.
 
Mbona huwa unachupa hivi kila ninpozungumzia hili suala la mapato ya media na entertainment? This thread of yours degenrated into a comparison about whose media sector is superior btwn Kenya and Tanzania, mkabakia kutuonyesha equipment za tv stations zenyu (as if hazipo Kenya).

From the tone of your response, naona ni kama umepanick, touching on this matter is like putting hot coal in your pants!

Oh.....Kenya is ranked third in in Africa im this sector; not according to Nairobiwire, but the reputed PWC.
We shldnt even be debating with u about this matter, cos nyniyi bado wachanga sana katika masuala haya, in fact sekta zote za Kenya zimezidi za Tz kwa umbali.

Oh.....Kenya is ranked third in in Africa im this sector; not accofding to Nairobiwire, but the reputed PWC. We shldnt even be debating with u about this, cos nyniyi bado wacjanhasana katika masuala haya, in fact sekta zot za Kenya zimezidi za Tz.
Sasa superior of media lazma iwe na modern facilities ambayo itaifanya iwe superior na azam is one of the superior TV station in africa....alafu unatakiwa pia uelewe azam TV imeanza juzi tu lakini investment iliowekwa pale nilikua nasoma source moja unaambiwa studio pekeake azam TV jamaa ameekeza more than 30million usd hio studio tu my friend, alafu modern media facilities azam TV ndio inaongoza kwakua Nazo na kuzimiliki east africa......
 
Na kwani hizi media za Kenya zinatumia facilities and equipment ziko outmoded? Wewe wacha longolongo zako ati Azam nonsense kila mara.
Tuzungumzevsasa mambo ya fulusi, hizi makampuni haziko hapa kuonyeshana nani ako na sijui facilities gani, wao wako hapo kutengeza pesa. Ni biashara. Hivi na hizo facilities na machine zote Azam imeweka kuwahudumia, nyinyi watz mnawapa the returns on their $30mln imvestments?

Ubabe hapa sasa ni pesa. Sisi tunawalipa stations zetu fedha nyingi kwa huduma wanazotutolea, je na nyinyi?
 
Mbona huwa unachupa hivi kila ninpozungumzia hili suala la mapato ya media na entertainment? This thread of yours degenrated into a comparison about whose media sector is superior btwn Kenya and Tanzania, mkabakia kutuonyesha equipment za tv stations zenyu (as if hazipo Kenya).

From the tone of your response, naona ni kama umepanick, touching on this matter is like putting hot coal in your pants!

Oh.....Kenya is ranked third in in Africa im this sector; not according to Nairobiwire, but the reputed PWC.
We shldnt even be debating with u about this matter, cos nyniyi bado wachanga sana katika masuala haya, in fact sekta zote za Kenya zimezidi za Tz kwa umbali.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Mimi nadhani wewe ndio umepaniki....kiukweli siwaelewi mnataka tu-debate nini kati ya mimi na nyinyi.

mlianza na issue ya profit mkakwama,mkaja na issue ya figure mkakwama.

sasa hivi umekuja na kenya ranked third according to sijui blablabla.

azam tv has only 4 yrs in pay tv industry and drives EA region crazy.hizo mambo za ranked third kaeni nazo.sisi hazituhusu.hapa kazi tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkabakia kutuonyesha equipment za tv stations zenyu (as if hazipo Kenya).
?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,povuuuuu

tutaendelea kuwaonyesha facilities za azam tv mpaka mkasirike.hatutoacha.

tunafanya hivo kwasababu tv za kenya hazina facilities za kisasa ambazo zinapatikana azam tv.
 
Mbona building ya headquarter ya Azam ni ovyo basi?
426107959_249449.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Mimi nadhani wewe ndio umepaniki....kiukweli siwaelewi mnataka tu-debate nini kati ya mimi na nyinyi.

mlianza na issue ya profit mkakwama,mkaja na issue ya figure mkakwama.

sasa hivi umekuja na kenya ranked third according to sijui blablabla.

azam tv has only 4 yrs in pay tv industry and drives EA region crazy.hizo mambo za ranked third kaeni nazo.sisi hazituhusu.hapa kazi tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaha! Ati tukakwama? Unataka nikurejeshe kwenye zile coments zako nilipoanzisha hii mambo, ukaruka (kama ulivyofanya hap) na ukasema katu hautosoma wala kuzungumzia zile rippoti nilizoweka hapa,ati ni picha za studio ndoo mnapost.

Media industry Tanzania si ya maana. Angalau Azam ndoo wamejaribu kuimarisha standards huko, wameleta vifaa na miundombinu bora, zinawaexcite kama watoto wa mashambani ambao wameona gari for the first time! Hivi sasa mnaona ati sasa mmefika.

But facts bado zipo palepale; Kenya inacheza league ya bara ya Africa katka fani ya media.

Sasa hapa baada ya Tv revenues, bado hatujagusia idadi ya watumizi wa Tv. Ni vipi Kenya iwe na idadi kubwa zaidi ya watazamaji wa runinga ilhali ina watu chache zaidi ya Tanzania?.

Azam drives Tanzanians crazy, bt not Kenyans. Who even watches that herre?
 
Sasa superior of media lazma iwe na modern facilities ambayo itaifanya iwe superior na azam is one of the superior TV station in africa....alafu unatakiwa pia uelewe azam TV imeanza juzi tu lakini investment iliowekwa pale nilikua nasoma source moja unaambiwa studio pekeake azam TV jamaa ameekeza more than 30million usd hio studio tu my friend, alafu modern media facilities azam TV ndio inaongoza kwakua Nazo na kuzimiliki east africa......
Superior in Africa according to whom?

Zuku Kenya revamps triple-play packages

Modern facilities as if kuna any tv service provider inaoffer Fibre Triple-play platform hapo Tanzania. Zuku Tv iko Tanzania na ndio ya pekee inayopeana huduma hiyo huko.
 
hahahaha kwa taarifa yako hakuna nchi zuku imefeli kama tanzania na ukitaka kujua imefeli angalia customers wanaomiliki tanzania, kwa taarifa yako tanzania kuna ushindani mkubwa sana tena sana maana usidhani kuna azam na startimes tu, ziko nyingine ndogo ndogo kibao even star tv anayo yakwake inaitwa continental tv😀😀😀😀😀😀😀
 
Hahaha! Ati tukakwama? Unataka nikurejeshe kwenye zile coments zako nilipoanzisha hii mambo, ukaruka (kama ulivyofanya hap) na ukasema katu hautosoma wala kuzungumzia zile rippoti nilizoweka hapa,ati ni picha za studio ndoo mnapost.

Media industry Tanzania si ya maana. Angalau Azam ndoo wamejaribu kuimarisha standards huko, wameleta vifaa na miundombinu bora, zinawaexcite kama watoto wa mashambani ambao wameona gari for the first time! Hivi sasa mnaona ati sasa mmefika.

But facts bado zipo palepale; Kenya inacheza league ya bara ya Africa katka fani ya media.

Sasa hapa baada ya Tv revenues, bado hatujagusia idadi ya watumizi wa Tv. Ni vipi Kenya iwe na idadi kubwa zaidi ya watazamaji wa runinga ilhali ina watu chache zaidi ya Tanzania?.

Azam drives Tanzanians crazy, bt not Kenyans. Who even watches that herre?
azam sio wamejaribu ndio wanaongoza east and central africa na vifaa walivonavo hakuna media yoyote east and central africa wanayo ukija kwenye studio ndio kabisa
kwakifupi azam tv sio size yenu nyie shindaneni na clouds tv au ITV au star tv au channel 10 etc..maana kwa azam tv utasumbuka sana tena sana nimefanya kukurahisishia
 
Wanaongoza according to whom? Just answer that.
 
Hahaha! Ati tukakwama? Unataka nikurejeshe kwenye zile coments zako nilipoanzisha hii mambo, ukaruka (kama ulivyofanya hap) na ukasema katu hautosoma wala kuzungumzia zile rippoti nilizoweka hapa,ati ni picha za studio ndoo mnapost.

Media industry Tanzania si ya maana. Angalau Azam ndoo wamejaribu kuimarisha standards huko, wameleta vifaa na miundombinu bora, zinawaexcite kama watoto wa mashambani ambao wameona gari for the first time! Hivi sasa mnaona ati sasa mmefika.

But facts bado zipo palepale; Kenya inacheza league ya bara ya Africa katka fani ya media.

Sasa hapa baada ya Tv revenues, bado hatujagusia idadi ya watumizi wa Tv. Ni vipi Kenya iwe na idadi kubwa zaidi ya watazamaji wa runinga ilhali ina watu chache zaidi ya Tanzania?.

Azam drives Tanzanians crazy, bt not Kenyans. Who even watches that herre?

Superior in Africa according to whom?

Zuku Kenya revamps triple-play packages

Modern facilities as if kuna any tv service provider inaoffer Fibre Triple-play platform hapo Tanzania. Zuku Tv iko Tanzania na ndio ya pekee inayopeana huduma hiyo huko.
acha blablabla kijana.
safisha macho yako hapa chini.( najua huzipendi hizi picha...nitakuwekea kila utakapojaribu kuja na porojo).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
modern OB truck (installed with HiTech digital broadcasting facilities)
ec5460ce909eaa80c8dc2e9f15fe7fa6.jpg

0afe4226a67eada7e6bfc6b319279957.jpg
2afdcf9cb2a0d5d2ad0e7bd86fa42f67.jpg
4dec9716d54100220f57691c942562e1.jpg
04b568c0c478554ed46a43ec183cf041.jpg
eedfd7c7da5e3a0c84b368ca24d072a8.jpg

luxury OB bus No.1 (installed with HiTech digital broadcasting facilities)
828d6ce4cd890764dad81513564385ae.jpg
dc208d228380659b8cb6b6926b18a645.jpg
e45a1bf59a0c3adc50c72c6f52848e37.jpg
71ff948846e64f6516ad7ca387b0efdd.jpg

luxury OB bus No.2 (installed with HiTech digital broadcasting facilities)
507cb9550a985e4298a9d40e1c3fce7a.jpg
fd82d18f983dfc2a92fbe7300ce7f5fb.jpg

OB vans
0cf31a6ebf1a23d3416452cdd153a577.jpg
9387758c9b3eef71a40fc8f5dfd60700.jpg
 
hahahaha kwa taarifa yako hakuna nchi zuku imefeli kama tanzania na ukitaka kujua imefeli angalia customers wanaomiliki tanzania, kwa taarifa yako tanzania kuna ushindani mkubwa sana tena sana maana usidhani kuna azam na startimes tu, ziko nyingine ndogo ndogo kibao even star tv anayo yakwake inaitwa continental tv😀😀😀😀😀😀😀
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom