Uchaguzi Marekani, tunawaangalia!

Uchaguzi Marekani, tunawaangalia!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Tanzania inafuatilia kwa karibu sana mwenendo wa matukio yote katika uchaguzi wa nchini Marekani ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka na uchaguzi huo unakuwa wa ni huru na wa haki.

Tanzania haitavumilia vitendo vya uvunjifu wa haki na amani nchini humo.

Vyama vyote vipewe haki sawa.

Imetolewa na Jidduuzzz
 
wajamaa uchaguzi wao unachukua wiki wiki mbili.. nafuatilia kwa ukaribu uchaguzi wa Arizona na Nevada,yani ni vichekesho. Kuna state senator mmoja huku Pennsylvania amechaguliwa lakini amekufa mwezi uliopita. ila laiti ingekuwa ni nchi ya Afrika imechelewesha matokeo hata kwa siku moja sipati picha 😅 😅 😅
 
Back
Top Bottom