Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimezungumzia kauli yake kuhusu weusi. Hapa naomba uelewe, hatukuongelea usahihi au upotofu wa kauli yake. Tumesema, kauli zake zimewakirishisha weusiLakini kabla sijaendelea, ngoja niulize ili nijue kwa uhakika unazungumzia kauli ipi.
Ni kauli ipi hiyo ya Trump kuhusu watu weusi unayoizungumzia hapo?
Unaweza kuniwekea hapa hiyo kauli na chanzo labda cha ulipoitoa, tafadhali?
Mkuu nimezungumzia kauli yake kuhusu weusi. Hapa naomba uelewe, hatukuongelea usahihi au upotofu wa kauli yake. Tumesema, kauli zake zimewakirishisha weusi.
Mfano mmoja ni kauli ya Trump alipokuwa anaongea Indiana(?) dhidi ya Wakenya na Waafrika. Ipo katika maandishi kutoka source mbali mbali.
Kwa ufupi, hakuna kundi ambalo halijaguswa na kauli za Trump katika jamii
Suala la usahihi au mapungufu ya kauli si sehemu ya mjadala, tunachokiangalia ni athari za kauli hizo mbele ya safari ya kampeni ikihusisha Republican
Ningefurahi kama ungeniuliza pia, wapi amezungumzia akina mama katika hali wasiyoipenda, waislam, immigrant n.k. kama nilivyoanisha katika bandiko
Mfano mwingine, Trump anamwita seneta 'little guy' na alipojibu hoja kuhusu ufupi wa vidole vyake, nadhani unajua alienda mbali kuzungumzia nini kuhusu..., anyways!
NN, ni vyombo vingapi vya habari vimeripoti kuhusu KKK?
Ukimsikiliza Trump hana kosa kuwa endorsed na KKK!
Ni vyombo vingapi vya habari vimeandika kuhusu kauli yake ya kutolijua kundi la KKK?
Anyways, hoja iliyopo ni kuwa hakuna kundi la jamii ambalo halijaguswa na kauli tata za Trump
Kwa mfano, katika hoja nimeongelea weusi wa Marekani wameguswa na kauli zake!