Mkuu
Mag3
Kuzomewa kwa Sanders kuna jambo nyuma yake.
Democrat wanaonyesha hasira zao dhidi ya Sanders.
Suala la emails lilikuwa silaha ya Sanders katika caucus na primaries
Kabla ya uchaguzi, GOP walijaribu kuliamsha
Kamati yao wenyewe iliyomhoji Clinton kwa masaa 10 haikuona tatizo.
Sanders akalirudisha na GOP wanaona opportunity ya kuwavuruga Dem
FBI wanasema hawatafungua mashtaka, na AG anasema amefuata.
Ikumbukwe suala la classified documet lilimkumba Gen Petrus pia.
FBI wakashauri afunguliwe mashtaka ,AG akaona hakuna sababu za kutosha
Hoja hiyo inaonekana kujibu tuhuma za 'upendeleo' kwa Clinton.
Dem wana hofu kwasababu Trump na Repub wanatumia 'kitabu' cha Sanders kumsulubu Clinton. Kwa mfano, hoja ya Trump kuhusu free trade ni ya Sanders ambayo ina backfire Clinton.
Kuna hoja ya hotuba ambayo Sanders aliishikia bango na inaweza kurudi.
Bahati nzuri kwa Dem, Trump ana makando kando wasingependa irudi
Timu ya Bernie Sanders ilikuwa nyuma na bega kwa bega na Republican kama jitihada za kumrudisha Sanders katika kinyang'anyiro kupitia mkutano mkuu
Emails itaendelea kuzunguka katika anga za siasa. State Department wanaendesha uchunguzi dhidi ya wafanyakazi kama hawakuvunja taratibu.
Uchunguzi wa state dept utabaki kuwa mazungumzo ya kisiasa
Wakati huo huo James Comey aliyekuwa Capitol Hill aliwakalia kidete Republican waliokurupuka kumwita wakidhani 'wanamfumania'
Kwasa Republican wanatumia hoja nyingine.
Wanataka ofisi ya Intelejensia imzuie Clinton kupata habari classified.
Kwa kawaida wagombea Urais hupewa access ya classified infromation.
Ikifanikiwa itamweka Clinton nje ya classified information na kumuathiri ki-midahalo.
Hata hivyo, akiungwa mkono na Rais haiona athari,habari zitapenyezwa
Tusemezane