Mawakala wa vyama vyote walikuwa wanatiliana shaka lakini baada ya kutambulishana issue ikatatuliwa.
Wabeja sana Namhala Wa Jikoni...Updates kutoka kwa Wa Jikoni:
- Hali ni tulivu.
- Watu wamejitokeza kupiga kura asubuhi hii, wengi wakiwa ni kina mama.
- Watu wanahakiki majina yao.
- Hakuna malalamiko, so far
Juzi nimemsikia JMK akisema ataeleta uvunjifu wa amani atashughulikiwa. Watu wa fujo wanajulikaa na wamedhibitiwa.
Juzi nimemsikia JMK akisema ataeleta uvunjifu wa amani atashughulikiwa. Watu wa fujo wanajulikaa na wamedhibitiwa.
Wabeja sana Namhala Wa Jikoni...
Wana Igunga naona wameishabugi step, kama wameachia akina mama waende kupiga kura ujue tayari wameishachagua magamba. Kule Tarime na Musoma mjini huwa tunawaibia hawa akina mama vitambulisho vyao hadi sa12 jioni ili wasiende kukipigia kura chama cha magamba
Kwanini Kina Mama kwanza? Hapo naanza kuona harufu ya uchakachuzi.
Kwanini Kina Mama kwanza? Hapo naanza kuona harufu ya uchakachuzi.
Naam umenena vyema kakamsindi chama kinachoanza na C
Mmmh yaani ushaanza kutoa matokeo haya ngoja tusubiriUpdates:
-Watu wamefurika vituoni
-CCM wanaonekana kushinda
-Wale vijana wa Magwanda wamezuiliwa kuingia
-Kafumu ashangikiwa sana
- Magwanda hoi, njaa kali
Hawa ndio wanafahamu demokrasia. Hawana ushabiki usio na Tija. Hawa ndio watakaotupa ushindi cuz ni wapenda amani.
Kwa sababu ninyi ni majizi. Kama mlithubutu kuiba BOT tuwaamini kwa lipi??Kama kawaida yenu...mnawaza tu kuibiwa
Mlimani TV pia wanatoa updateNaskiza eastafrica radio hapa wao wanatoa update juu ya uchaguz na tahmin mbalimbali,,,wamemhoji mr MGAYANE ambae ndo msimamiz mkuu wa uchaguzi amesema watu waliojitokeza ni weng mno,ila hata wapo radio nao wanatoa update
Jamani tunataka updates sio porojo. Watu mliopo igunga tuleteeni taarifa.