Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda vijana wamefuata ile style ya Musoma ya kuficha kadi za hao wazee hadi saa 12 jioni. Kama wazee wamepungua basi ujue upepo unaanza kuvumia upande wetu.vijana wanaonekana wametanda vituoni wakitaka kupiga kura sijui kwanini idadi ya wamama na wazee imepungua kwenye kupiga kura labda tungoje pengine wamama na wazee bado hawajaamka au walikuwa na mtazamo wa kunaweza kuwa na vurugu
Unapokuwa unafanya kaz na majizi ya kura mazoefu lazma unaishi kwa hofu kubwa na kwa machalemachale.ccm majiz mazoefu
ITV: wakaazi wa Igunga hasa vijana wanaotaka mabadiliko wamejitokeza kwa wingi na kuna misururu mirefu kwenye vituo kupiga kura
Wakuu kuna kituo vifaa vya kupigia kura vimepelekwa na boda boda.
Tusiandike mate Mwita25 ngoma dakika 90 lazima mtu mzima amwage machozi!Updates:
-Watu wamefurika vituoni
-CCM wanaonekana kushinda
-Wale vijana wa Magwanda wamezuiliwa kuingia
-Kafumu ashangikiwa sana
- Magwanda hoi, njaa kali
najua kwa mwamko uliopo hapo igunga vijana watajitokeza..wamama kuwa wa kwanza mara nyingi ni kawaida na hata sheria inawabeba mfano wakifia akiwa na mtoto au mjamzito na wazee naamini igunga kitaeleweka tu..Mbona simu kutoka igunga zinasema vijana wamejitokeza sana?
We mwita25 bogus kabisa, nani athubutu kushangilia wakati wa upigaji kura? Una maID mengi hadi unajichanganya mwenyewe mwisho wa posho umewadia hakutakuwa na cha kuripoti baada ya uchaguzi huu.
chama kilichoshinda kinaanzia na herufi C
Endelea na mawazo hayo hayo. Sisi tunaendelea tu kushinda.
Itamletea usumbufu maana kuna wengine wanatumia simu kusurf, hivyo kila dakika atakuwa anapigiwa simu. Tumuache tu kama ni mpenda haki atatujuza tu hali inavyoendelea?weka namba yako jamvini tukupigie mkuu.