Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Katika picha ya ramani kwenye TV hiyo wilaya ya igunga iko katikati , ukweli ni kwamba inapakana na wilaya ya Iramba na na uyui inapakana na mamnyoni. AIBU kwa TV ya wasomi kutokuelewa vitu vidogo hivi
 
Unapokuwa unafanya kaz na majizi ya kura mazoefu lazma unaishi kwa hofu kubwa na kwa machalemachale.ccm majiz mazoefu
 
wale wapenzi wa siasa ninaamin sasa hivi kila mtu kaweka jicho lake kwenye chanzo pekee cha braking news jamii forum kupata habari mpya kutoka igunga.kwa taarifa yako simon kabendera wa itv kashareport kwamba safari hii mwamko ni mkubwa na vijana wanaonekana kuamka.tutegemee neema kutoka igunga.nawatakia j2 njema.itv kama kawaida yao wapo hewani na taarifa za igunga.namuona dada yetu fatuma yupo na masako.hakika ukombozi unakaribia.mia
 
vijana wanaonekana wametanda vituoni wakitaka kupiga kura sijui kwanini idadi ya wamama na wazee imepungua kwenye kupiga kura labda tungoje pengine wamama na wazee bado hawajaamka au walikuwa na mtazamo wa kunaweza kuwa na vurugu
Huenda vijana wamefuata ile style ya Musoma ya kuficha kadi za hao wazee hadi saa 12 jioni. Kama wazee wamepungua basi ujue upepo unaanza kuvumia upande wetu.
Kuna Wa Jikoni wangu pale Igunga anadai CCM saa tano tu itakuwa imeishaanguka, naomba uthibitisho kwa mliopo huko nisje kujikuta naanza kugonga BALIMI saa tano halafu saa 12 nikaaza kuzitapika
 
ITV: wakaazi wa Igunga hasa vijana wanaotaka mabadiliko wamejitokeza kwa wingi na kuna misururu mirefu kwenye vituo kupiga kura

Hii TV mmiliki wake ni Mengi? Naye c ametokea Machame kama Mbowe?
 
Wakuu kuna kituo vifaa vya kupigia kura vimepelekwa na boda boda.

hawa jamaa wasanii sana,mimesoma gazeti moja kuwa kila kituo kimetengewa malori mawili ili kusambaza vifaa.may be miundombinu mibovu na malori hayafiki.endelea
 
Updates:
-Watu wamefurika vituoni
-CCM wanaonekana kushinda
-Wale vijana wa Magwanda wamezuiliwa kuingia
-Kafumu ashangikiwa sana
- Magwanda hoi, njaa kali
Tusiandike mate Mwita25 ngoma dakika 90 lazima mtu mzima amwage machozi!
 
Mbona simu kutoka igunga zinasema vijana wamejitokeza sana?
najua kwa mwamko uliopo hapo igunga vijana watajitokeza..wamama kuwa wa kwanza mara nyingi ni kawaida na hata sheria inawabeba mfano wakifia akiwa na mtoto au mjamzito na wazee naamini igunga kitaeleweka tu..
 
Hamna jinsi bora lawama kuliko fedheha kama mtu hajitambui inabidi alazimishwe kujitambua kwa sababu mwisho wa siku ni hao hao mam zetu wachagua magamba ndio wa kwanza kulalamikia maisha magumu...huwezi mwacha kondoo wako afe shimoni kisa ni siku ya sabato funguka kaka
 
Ataripoti ya rorya, moduli etc kwani unadhani magamba wanaishiwaga mlo? jamaa ana id kama kumi hadi zingine anasahau password namchukia kama shida


We mwita25 bogus kabisa, nani athubutu kushangilia wakati wa upigaji kura? Una maID mengi hadi unajichanganya mwenyewe mwisho wa posho umewadia hakutakuwa na cha kuripoti baada ya uchaguzi huu.
 
Uwe mwangalifu na taarifa zako si wakati wakusema nani kashinda saizi acha kumkaribisha shetani kwenye fikra zako atwm52 hiyo ni dalili ya utumwa mwombe mungu kwa kila jambo nae atakupa hekima tunahitaji amani hatuhitaji majungu amani ikitoweka hutapata muda wakusema hayo unayosema tumia muda mwingi kumwomba mungu kwa sasa ili uchaguzi uwe huru na wahaki ok be blessed
 
Hujuma zimeanza Ngeleja ameishachukua umeme ili kutunyima haki yetu ya kufuatilia uchaguzi kupitia JF...

Anyway ngoja niwashe iPAD yangu maisha yaendelee...

Eeeee Mungu sikia kilio cha wana igunga, zima majaribio yote ya uchakachuaji na ruhusu uchaguzi huru na wa haki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom