Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Oooonh my God kwanini tena vijana hawajajitokeza igunga??? Mungu ibariki chadema jamani.
 
Leteni mpya huko igunga nani anaongoza bado nusu saa wabandike vituoni
 
Mkapa.jpg
Mzee Mkapa.

Kwa nini anaangaika na siasa mpaka leo huku akitembelea kwa fimbo?.

Maana ya kustaafu nini sasa?
 
Oooonh my God kwanini tena vijana hawajajitokeza igunga??? Mungu ibariki chadema jamani.

Tatizo ni kuwa vijana wengi waliohudhuria mikutano ya vyama vya siasa Igunga walikuwa mamluki wakitokea mikoani kama Shinyanga, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam.
 
Habari za hivi punde kutoka Igunga zinasema vijana walinzi wawili wa CDM wanashikiliwa na polisi mjini Igunga kwa kile polisi wanachodai kuwa walitaka kuliteka gari la wafuasi wa CCM ambalo nalo polisi wanalishikilia.

Walinzi hao walifika eneo la Simbo na kukuta kundi dogo la wafuasi wa CCM wakigawa fedha karibu na zahanati ya Simbo.

Baada ya vijana hao kuwashtukia pale ghafla wale watu wa CCM waliamua kutimua mbio na kuliacha gari lao na vijana wa CDM wakaamua kulichukua na kuliendesha hadi kituo cha polisi.

Baada ya upekuzi polisi walikuta mfuko wa plastiki (Rambo) ndani yake mkiwa Sh 20 milioni ambazo ndizo zilikuwa zinagawaiwa kwa watu au wafuasi wa CCM.

Hivyo vijana hao wamegeuziwa kibao na polisi kama kawaida yao na hivyo wameambiwa wameliteka nyara hilo gari.
 
Tatizo ni kuwa vijana wengi waliohudhuria mikutano ya vyama vya siasa Igunga walikuwa mamluki wakitokea mikoani kama Shinyanga, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam.

Yaani CCM ina laana leo watanzania mpaka tunaitana Mamluki kisa Igunga? Hivi huu ndiyo utakuwa uchaguzi mdogo wa mwisho? I wonder ikitokea kuna chaguzi ndogo Kilimanjaro au Arusha, hizi kejeli za CCM sijui watakuwa wanaziba nyuso zao???
 
Hongeleni vijana wa CDM, tumechoka na wana mana magamba, one mistake one goal.
 
sio lazima uanzishe thread ipo inayoendelea ile ya update za uchaguzi igunga
 
Kwa sababu hataki nchi iangukie mikononi mwa manyang'au.

We mrangi acha ujinga.
Mzee wako amechoka kama nini,rudi dodoma umuone mzee wako pale iringa road,kiinua mgongo cha TTCL Kimemuishia.
 
Baadhi ya vituo wameanza kujipanga ili kuanza kuhesabu kura, zoezi linaanza ifikapo saa kumi kamili, mungu awajaze nguvu na ujasili wa hali ya juu, amen
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom