Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Nyani haoni kundule, Mkapa na Mtei au Bob Makani nani mzee zaidi? Mtu akipenda....

Mtei na Bob Makani walienda Igunga? Wale wamebaki kama washauri. Mkapa nae awaachie kina Nape na wenzake yeye abaki kama mshauri.
 
Baadhi ya vituo wameanza kujipanga ili kuanza kuhesabu kura, zoezi linaanza ifikapo saa kumi kamili, mungu awajaze nguvu na ujasili wa hali ya juu, amen

mungu ibariki chadema.
 
wachukue pesa za nini wakati tunataka haki wamefanya vizuri kuzipeleka polisi ccm waaibike
 
Habari punde hii kutoka igunga zinasema vijana walinzi wawili wa CDM wanashikiliwa na polisi mjini Igunga kwa kile polisi wanachodai kuwa kuteka kuliteka gari la wafuasi wa CCM ambalo nalo polisi wanalishikilia.


Walinzi hao walifika eneo la Simbo na kukuta kundi dogo la wafuasi wa CCM wakigawa fedha karibu na zahanati ya Simbo.

Baada ya vijana hao kuwashtukia pale ghafla wale watu wa CCM waliamua kutimua mbio na kuliacha gari lao na vijana wa CDM wakaamua kulichukua na kuliendesha hadi kituo cha polisi.

Baada ya upekuzi polisi walikuta mfuko wa plastiki (Rambo) ndani yake mkiwa Sh 20 milioni ambazo ndizo zilikuwa zinagawaiwa kwa watu au wafuasi wa CCM.


Hivyo vijana hao wamegeuzia kibao na polisi kama kawaida yao na hivyo wameambiwa wameliteka nyara hilo gari.
 
...mbona wewe umebaki kusisitizia kitu hicho hicho tu? propaganda hizi zina maana gani?

Uchunguzi uliofanyika katika vituo zaidi ya 250 unaonesha kuwa vijana waliojitokeza kupiga kura <40(chini ya miaka 40) walikuwa wachache takribani asilimia 30 TU, huku wengi wakiwa kina mama na wazee.
 
Hata kama CCM wanaendelea kugawa hela, Muda wao wa kufa umeishafika.... To hell with CCM
 
Huyo wa Jikoni wake ESTHER wa TBC???? Ndio amemwambia huyu gamba jipya kuwa ''wazee na kina mama wanazidi kujitokeza kwa wingi, vijana ni wachache sana.''???. Go to hell with your TBC and CCM.

Mimi nina wadau kibao nawasiliana nao huko Igunga na wanasema vijana wameamka sana.. anyone buying this Idea ya Oh, vijana wachache ana Element za wehu.

Subiri kidogo, muda si mrefu utajua nani mwehu. Ni vema sasa ndugu zako waanze kukuandalia nauli ya kukupeleka Mirembe.
 
ccm hawawezi kushinda bila kutumia rushwa ya pesa wameona wamebwana kwenye kuingiza kura za vema walizoziandaa na boxes yao yatawaozea.Yashindwe kabisa na yahukumiwe na wana Igunga
 
Sasa kama idadi ya waliojitokeza ni akina mama na wazee kizazi kipya kiwapi jamani?
Si ndo mwanzo CCM wakashinda au vijana wanangoja jioni jioni?
 
yaani aibu kwelikweli , wamefanya vizuri. huwezi kuliteka gari ukalipeleka polisi hata siku moja.
 
Igunga ina rasilimali nyiingi lakini hazijawanufaisha-hamis dam'mbaya wa MLIMANI RADIO/TV
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom