Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
money can not buy a time.What money can??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
money can not buy a time.What money can??
Me nashangaa hili la vijana ni janga jipya.
Hapo itabidi maboksi ya kura yalindwe.Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga amesema wataanza kujumlisha matokeo ya kura kuanzia saa 2 usiku, amesema matokea yanaweza kutolewa kuanzia saa 6 usiku.....
Kwa kweli vijana wanatuangusha wapenda mageuzi, kwa nini hawataki kupiga kura...?
Kwa kweli vijana wanatuangusha wapenda mageuzi, kwa nini hawataki kupiga kura...?
lakini ccm wana haribu mchezo...Ngoma inogile!
Upigaji kura umeisha, kazi iliyobaki ni ya kulinda kura. Wa Jikoni wangu kaniambia vijana wamekaa mita 200 toka vituoni kwa ajili ya kulinda kura. Hawarudi nyumbani kama walivyokuwa wanafanya zamani. Pia ameona bar maids wakiwa na wino vidoleni kuonyesha wamepiga kura, propaganda za vijana hawajajitokeza ni kujifariji kwa magamba.
Dr. slaa hewani ch. 10