Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga amesema wataanza kujumlisha matokeo ya kura kuanzia saa 2 usiku, amesema matokea yanaweza kutolewa kuanzia saa 6 usiku.....
Hapo itabidi maboksi ya kura yalindwe.
 
Kwa kweli vijana wanatuangusha wapenda mageuzi, kwa nini hawataki kupiga kura...?

Wrong is wrong no matter who say it.
Tunakuomba utupishe,hatuna maisha mapya,kama unavofikiria,rangi ya maandishi yako yanadhihirisha unyonyaji wako kwa taifa letu.
Go to hell!
 
Upigaji kura umeisha, kazi iliyobaki ni ya kulinda kura. Wa Jikoni wangu kaniambia vijana wamekaa mita 200 toka vituoni kwa ajili ya kulinda kura. Hawarudi nyumbani kama walivyokuwa wanafanya zamani. Pia ameona bar maids wakiwa na wino vidoleni kuonyesha wamepiga kura, propaganda za vijana hawajajitokeza ni kujifariji kwa magamba.
 
Ushindi unasubiriwa kwa hamu na pande zote! Nani ataibuka kidedea tusubiri kura zihesabiwe
 
Upigaji kura umeisha, kazi iliyobaki ni ya kulinda kura. Wa Jikoni wangu kaniambia vijana wamekaa mita 200 toka vituoni kwa ajili ya kulinda kura. Hawarudi nyumbani kama walivyokuwa wanafanya zamani. Pia ameona bar maids wakiwa na wino vidoleni kuonyesha wamepiga kura, propaganda za vijana hawajajitokeza ni kujifariji kwa magamba.

asante kwa taarifa
 
News just in:
CDM inaelekea kupanda ushindi mwembamba Igunga.
Hii ni kwa mujibu wa taarifa za ndani toka kwa mawakala katika baadhi ya vituo vya uchaguzi.
CDM imeonekana kufanya vizuri sana vituo vya mjini wakati kule vijijini ni pasu pasu almost.
CUF, kwa mujibu wa taarifa hizo haijaambulia kitu na inawezekana ikaishia kupata asilimia chini ya 2.
Will give u further update soon.
 
Jamani tume kama iko fair waiondoe ccm kwenye kinyang'anyiro wanalofanya sasaiv ni wizi wa kuchomeka masanduku feki, vituo feki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom