Bukutonaga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 246
- 46
Kha Fidel upo Igunga? Leta habari zaidiWakuu kuna kituo vifaa vya kupigia kura vimepelekwa na boda boda.
Updates:
-Watu wamefurika vituoni
-CCM wanaonekana kushinda
-Wale vijana wa Magwanda wamezuiliwa kuingia
-Kafumu ashangikiwa sana
- Magwanda hoi, njaa kali
Kwa sababu ninyi ni majizi. Kama mlithubutu kuiba BOT tuwaamini kwa lipi??
Wameshindwa kupokea Elimu ya kuzikataa Tshirt, Kanga na Vilemba vya rangi ya njano na kijani magamba wanavyotumia kama chambo kuwanasa. Hatuna ujanja zaidi ya kutumia mbinu walizotuachia babu zetu, hadi pale TAKUKURU watakapoanza kuzuia rushwa ya manguo ya njano na buku buku za magamba. When one door is closed others are openhauoni kuwa mnawakosesha haki yao ya kupiga kura?
Nawashauri mara nyingine msirudie hiyo dhambi, jaribuni kuwaelimisha then muwape nafasi ya kuchagua hatima ya masha yao. Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli!!!!
Asubuhi nimefika hapa mjini Igunga nikitokea mji mdogo wa ZIBA, huko hali shwari vijana wamefurika kwenye vituo vya kupigia kura karibu vyote hapa mjini ila kwenye miji midogo ya MWISI, NGONGORO, SAKAMALIWA, IGURUBI, CHOMACHANKORO, juzi na jana hali nilishuhudia ilikuwa safi. Nimefika Igunga wiki hii na nimefanya utafiti katika sehemu tajwa hapo juu. Nimewahoji wananchi 53 kila mji. CHADEMA imeteka Igunga kama kweli uchaguzi utafanyika kwa amani na "usawa" leo. Ila walimu walioanza kazi mwaka jana wa Igunga wamezuiwa kupiga kura. Wenyewe wanalalamika kunyimwa fursa ya kumchagua mwalimu mwenzao. Nitaupdate wakati wa kukusanya idadi ya kura matokeo. nimeacha namba zangu za simu ktk miji yote ya igunga.
Updates:
-Watu wamefurika vituoni
-CCM wanaonekana kushinda
-Wale vijana wa Magwanda wamezuiliwa kuingia
-Kafumu ashangikiwa sana
- Magwanda hoi, njaa kali
Wabeja sana Namhala Wa Jikoni...
Wana Igunga naona wameishabugi step, kama wameachia akina mama waende kupiga kura ujue tayari wameishachagua magamba. Kule Tarime na Musoma mjini huwa tunawaibia hawa akina mama vitambulisho vyao hadi sa12 jioni ili wasiende kukipigia kura chama cha magamba
Njaa kali ni kwa kila mtanzania tangu JK ameingia madarakani, ndio maana wananchi wa Igunga wameamua kuikataa njaa kwa kutupilia shimoni CCM. Wewe si unajikomba unafikiri utakaombolewa kupata u senior lecturer huku ukiwa na hako kaelimu kadogo, hakuna hiyo kitu.Updates:
-Watu wamefurika vituoni
-CCM wanaonekana kushinda
-Wale vijana wa Magwanda wamezuiliwa kuingia
-Kafumu ashangikiwa sana
- Magwanda hoi, njaa kali
Mbona simu kutoka igunga zinasema vijana wamejitokeza sana?mwita25, vijana wamezuiliwa,kafumu anashangikiwa..hebu fafanua je kwanini wamezuiliwa na kwanini kafumu anashangikiwa kama sikosei unaimanisha ana shangiliwa inamaana kampeni zinaendelea..
Domokrasia ipigiwayo debe na CDM hii.
Pambaf.
OTIS.