Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
ITV live wanalipoti vijana wameja kwenye vituo tofauti na chaguzi zote
kudadadadeki.........wamekata umeme.
sasa nasikiliza redio kupitia simu.
kupata habari ni haki yangu ya msingi.
mapambano yanaendelea.
Ndugu zetu wananchi wa Igunga chonde chonde chonde sana tunawaomba msithubutu kuchagua CCM kwani ni maafa makubwa kuiweka sisiem madarakana hasa kwa wakati huu tulionao sasa ambapo maisha yamekuwa magumu kupindukia sababu ya sera mbovu za ccm, ufisadi umeshamiri hali inayorudisha nyuma maendelea ya nchi yetu.
Angalieni, mahakana imebariki Dowans kulipwa mabilion ya pesa wakati nchi iko gizani kwa muda mrefu sasa, hakuna umeme na kero nyingine nyingi sana ambazo zimetokana na serikali legelege ya ccm.
wakati wa ukombozi ni sasa.
OK! Pamoja na hayo wana-JF hawa watu ni wezi sana Waangalie hata namna masanduku yatavyo kuwa yana safirishwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine humo kwenye magari pawe na raia wetu CDM,kumbukeni vitendo alivyofanya Mahanga Makongoro pale segerea wakati anabadilisha masanduku yake mwenyewe kama hayo yaliyopo Nzega kwa DC.
Duh! Jamaa kweli kaniacha hoi. kafikisha ujumbe lakini.Rejao we huna I-pad?! Ha ha ungejuaje km anayo
mkuu redio gani inatangaza nasisi wametulichimondi
Mlimani TV pia wanatoa update
Tune Radio one mkuu kadhalika wameungana na ITV
Unajua waheshimiwa Freeman Mbowe na Zitto Kabwe ndi walikuwa waTanzania wa kwanza kuingiza iPad bungeni, sasa mara nyingi sisi wapenda mabadiliko huwa tunapenda sana kuwafuata viongozi tunaowaamini, nikajitutumua hivyo hivyo licha ya huu umaskini aliotusababishia JK, nikauza gunia 30 za mahindi nikakamata kitu. Nape anayetegemea Per diems za kufanya kampeni za udiwani hatakaa anunue iPad kama Mh ZittoHalafu utalalamika hali ya maisha ni ngumu? Mashauzi yote ya nini?
Duh! Jamaa kweli kaniacha hoi. kafikisha ujumbe lakini.
Vp dena..na wewe mbona hujajirusha unatumia means gan?