Mufiyakicheko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 892
- 86
Tune Radio one mkuu kadhalika wameungana na ITV
Asante mkuu sisi huku redio 1 hatupati inapatikana kwenye dishi umeme ndohuo wanye nnchi wemeuchukuwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tune Radio one mkuu kadhalika wameungana na ITV
wale wapenzi wa siasa ninaamin sasa hivi kila mtu kaweka jicho lake kwenye chanzo pekee cha braking news jamii forum kupata habari mpya kutoka igunga.kwa taarifa yako simon kabendera wa itv kashareport kwamba safari hii mwamko ni mkubwa na vijana wanaonekana kuamka.tutegemee neema kutoka igunga.nawatakia j2 njema.itv kama kawaida yao wapo hewani na taarifa za igunga.namuona dada yetu fatuma yupo na masako.hakika ukombozi unakaribia.mia
Wabeja sana Namhala Wa Jikoni...
Wana Igunga naona wameishabugi step, kama wameachia akina mama waende kupiga kura ujue tayari wameishachagua magamba. Kule Tarime na Musoma mjini huwa tunawaibia hawa akina mama vitambulisho vyao hadi sa12 jioni ili wasiende kukipigia kura chama cha magamba
Siasa bana, sometimes mpaka mautani ndani.Mchina wako umetulia..naona kitu via mobile.
Mods vp? mbona hawaweki kitufe cha like? Nashindwa kuugongea like mchina wako kwa kaz nzuri unaoifanya
Mchina wako umetulia..naona kitu via mobile.
Mods vp? mbona hawaweki kitufe cha like? Nashindwa kuugongea like mchina wako kwa kaz nzuri unaoifanya
Mie na mchina bana ipad nitaitoa wapi Rejao wewe?
Huenda vijana wamefuata ile style ya Musoma ya kuficha kadi za hao wazee hadi saa 12 jioni. Kama wazee wamepungua basi ujue upepo unaanza kuvumia upande wetu.
Kuna Wa Jikoni wangu pale Igunga anadai CCM saa tano tu itakuwa imeishaanguka, naomba uthibitisho kwa mliopo huko nisje kujikuta naanza kugonga BALIMI saa tano halafu saa 12 nikaaza kuzitapika
Siasa bana, sometimes mpaka mautani ndani.
Haahahahah..hiyo imetulia!Kiukweli ni mzuri halafu line mbili. ITV live Igunga na Kabendera
Ngoma inogile...
There are currently 353 users browsing this thread. (129 members and 224 guests)
7 pro CCM, 341 pro CHADEMA, 1 pro CUF and 4 neutral....
Kama uchaguzi ungefanyikia JF basi Rejao angepasuka kile kichwa
Ndio habari zinakuja kwa njia hii..tunaomba wewe na rejao mtupe habari za igunga kama hamna kaa kimya coz mnatuchanganya.kama mnataka kuchat nendeni basi chitchat!.nawaheshimu sana.fanyeni hivyo.mia
Kuna watu wakisikia vijana wanahanya balaa, nakumbuka kipindi cha uchaguzi JK kila akienda sehemu ni lazima aseme atapandisha gredi hosptital za wilaya ziwe rufaa! Sijui mpaka saizi kesha pandisha.Sasa hao wanao potosha kuwa vijana hakuna. kumbe wanaongea upupu tu