Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Foleni zinaenda vizuri sana nimependa jinsi tbb walivyoonyesha.wasimamizi na mawakala wako pouwa.peoplez....changes.
 
kalatasi ya kupigia kura wameichakachua.picha ya mgombea ipo mbali na nembo ya chama.
tujikumbushe wawakilishi wetu
1.JOSEPH KASHINDYE-CHADEMA
2.hemed ramadhan-UPDP
3.hassan ramadhan-CHAUSTA
4.steven makingi-AFP
5.john magifi-SAU
6.abdallah chain-DP
7.Leopard mahona-CUF
8.peter kafumu-CCM
mia

Mchungaji 'Abdallah' wa DP....
 
Sasa hivi ndio ninaenda kupiga kura baada ya kunywa chai.Nyie mliokuwa mnapiga kelele hapa njoon mpige kura sasa.NAKUUMIA SIRI KIDOGO NAKWENDA KUMPIGIA KAFUMU .WAKINA MAMA WANAFUNIKA HAPA IGUNGA MJINI KWA KUJITOKEZA KWA WINGI.CDM PRESHA JUU,WAMEGUNDUA VIJANA WALIKUA HAWAKUJIANDISHA.NIMEFIKA KITUONI NGOJA NIKAWAMALIZE CDM NINAHASIRA NA NYINYI...BADAE KIDOGO.
Unajikomoa wewe mwenyewe, watoto wako na ndugu zako wote kutokana na ujuha wako. Kwa ufinyu wa akili yako unadhani unaikomoa CDM.
 
NEC is a f***** institution. Na utakuta wengi wao ni vijana ambao kwa kutokuwa na future chini ya CCM, wameondolewa majina yao au yamehamishiwa vituo tofauti kimakusudi tu. Majina ya wanawake na wazee ndiyo utakuta yapo kibao kwenye orodha.

Kuna siku nchi hii itapata NEC iliyotukuka na siyo hii inayochajaguliwa na M'kiti wa CCM!
 
Huko igunga watu wadaiwa kukosa majina yao katika daftari la wapiga kura ilhalwalijiandikisha na shahada wanazo.

wakimbie haraka sana kwenye vituo vilivyokaribu, inawezekana majina yao yapo huko!
 
gari ya ccm inapita mitaani kwenye kata ya nyandekwa ambayo ni ngome ya chadema ikitangaza kuwa mgombea wa chadema amejitoa,
diwani wa ccm kata ya nkinga alikuwa anatisha wapiga kura,lakini ameshughulikiwa na vijana wa chadema
 
Masako anatoa elimu ya uraia through ITV. Naye ni CCM lakini this time anaonekana mwaminifu kidogo.

Jamaa tokea wana magamba wamchezee lafu amejua ubaya wa magamba, anaona soo kujitoa ila jamaa huwa anaichana mbaya serikali. CDM oyeeeee
 
Zoezi linaendelea vizuri ila kwa baadhi ya vituo fomu namba 17 zilikuwa hamna,hivyo kukwamisha baadhi ya wapiga kura hasa vijana,baadae limefanyiwa kazi na Mkurugenzi ameahidi kulitatua ASAP.

Mkuu posts zako nazisoma mara nne nne, so usiwe mbali na JF tafadhali...
 
Tbc wamerudi na wameonesha hali ilivyo na wanasema mwitikio ni mkubwa sana na wameonesha foleni zilivyo na kumetulia.watu wanaletwa na bajaji.ila kuna mgombea mmoja hakumtaja ameshaandaa watu waanze kushangilia ushindi.tbc wamekamilika tusiwalaumu kwani kimya kingi kinamshindo mkuu.pamoja.

Kuna thread humu imeeleza kuwa Kafumu wa CCM ndiyo alikuwa ameandaa watu wa kumshangilia!
 
Wasiwasi wangu masanduku kusafilishwa na boda boda.
 
gari ya ccm inapita mitaani kwenye kata ya nyandekwa ambayo ni ngome ya chadema ikitangaza kuwa mgombea wa chadema amejitoa,
diwani wa ccm kata ya nkinga alikuwa anatisha wapiga kura,lakini ameshughulikiwa na vijana wa chadema

Hiv Nanyaro inakuwaje CDM wanawaacha tu wanapita barabarani kueneza upupu?
 
gari ya ccm inapita mitaani kwenye kata ya nyandekwa ambayo ni ngome ya chadema ikitangaza kuwa mgombea wa chadema amejitoa,
diwani wa ccm kata ya nkinga alikuwa anatisha wapiga kura,lakini ameshughulikiwa na vijana wa chadema

huyu sasa anatafuta chokochoko,,,,mambo haya ndo husababisha vurugu zisizo na msingi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom