Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Fomu no 17 ni tatizoNdio habari zinakuja kwa njia hii..
Huoni updates za Dena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fomu no 17 ni tatizoNdio habari zinakuja kwa njia hii..
Huoni updates za Dena?
Hii ID yako kiboko!Mkuu pamoja sana jimbo mikononi kwa cdm Mungu atusaidie
kalatasi ya kupigia kura wameichakachua.picha ya mgombea ipo mbali na nembo ya chama.
tujikumbushe wawakilishi wetu
1.JOSEPH KASHINDYE-CHADEMA
2.hemed ramadhan-UPDP
3.hassan ramadhan-CHAUSTA
4.steven makingi-AFP
5.john magifi-SAU
6.abdallah chain-DP
7.Leopard mahona-CUF
8.peter kafumu-CCM
mia
Unajikomoa wewe mwenyewe, watoto wako na ndugu zako wote kutokana na ujuha wako. Kwa ufinyu wa akili yako unadhani unaikomoa CDM.Sasa hivi ndio ninaenda kupiga kura baada ya kunywa chai.Nyie mliokuwa mnapiga kelele hapa njoon mpige kura sasa.NAKUUMIA SIRI KIDOGO NAKWENDA KUMPIGIA KAFUMU .WAKINA MAMA WANAFUNIKA HAPA IGUNGA MJINI KWA KUJITOKEZA KWA WINGI.CDM PRESHA JUU,WAMEGUNDUA VIJANA WALIKUA HAWAKUJIANDISHA.NIMEFIKA KITUONI NGOJA NIKAWAMALIZE CDM NINAHASIRA NA NYINYI...BADAE KIDOGO.
Masako anatoa elimu ya uraia through ITV. Naye ni CCM lakini this time anaonekana mwaminifu kidogo.
Huko igunga watu wadaiwa kukosa majina yao katika daftari la wapiga kura ilhalwalijiandikisha na shahada wanazo.
Tatizo ni fomu na 17 tu ila hali ni shwariHaahahahah..hiyo imetulia!
Kitu Igunga live ndali ya mchina!!
Inabidi utupe update za igunga..kuna mshkaji kashaanza kumind!
Asante mkuu sisi huku redio 1 hatupati inapatikana kwenye dishi umeme ndohuo wanye nnchi wemeuchukuwa
Masako anatoa elimu ya uraia through ITV. Naye ni CCM lakini this time anaonekana mwaminifu kidogo.
Tune in itv iko live na mzee wa suspender
Zoezi linaendelea vizuri ila kwa baadhi ya vituo fomu namba 17 zilikuwa hamna,hivyo kukwamisha baadhi ya wapiga kura hasa vijana,baadae limefanyiwa kazi na Mkurugenzi ameahidi kulitatua ASAP.
Tbc wamerudi na wameonesha hali ilivyo na wanasema mwitikio ni mkubwa sana na wameonesha foleni zilivyo na kumetulia.watu wanaletwa na bajaji.ila kuna mgombea mmoja hakumtaja ameshaandaa watu waanze kushangilia ushindi.tbc wamekamilika tusiwalaumu kwani kimya kingi kinamshindo mkuu.pamoja.
Radio one na ITV live
Hii ID yako kiboko!
gari ya ccm inapita mitaani kwenye kata ya nyandekwa ambayo ni ngome ya chadema ikitangaza kuwa mgombea wa chadema amejitoa,
diwani wa ccm kata ya nkinga alikuwa anatisha wapiga kura,lakini ameshughulikiwa na vijana wa chadema
gari ya ccm inapita mitaani kwenye kata ya nyandekwa ambayo ni ngome ya chadema ikitangaza kuwa mgombea wa chadema amejitoa,
diwani wa ccm kata ya nkinga alikuwa anatisha wapiga kura,lakini ameshughulikiwa na vijana wa chadema