gwino
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 333
- 47
Honestly tanesco wame nipendelea sana ingawa naishi uswahilini.
Ni kama week 3 sasa umeme umekatika jana saa3 usiku na ukarudi saa11.
Otherwise naenjoy tu,....
bila shaka we utakuwa pande za igunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Honestly tanesco wame nipendelea sana ingawa naishi uswahilini.
Ni kama week 3 sasa umeme umekatika jana saa3 usiku na ukarudi saa11.
Otherwise naenjoy tu,....
Ni kweli lTV walikuwa LIVE lakini huku kwetu tayari wameshachukua umeme wao. Nafikiri sababu nyumba nyingi zapeperusha bendera ya CHADEMA! WanaJF mliopo lgunga endeleeni kutuhabarisha ili nasi tufatilie kwenye visimu vyetu vya kichina!lUchaguzi mdogo wa Igunga unafanyika leo ambapo vyama ninane vinashiriki (tofauti na vyama viwili tu uchaguzi wa 2010) Nani kuvuna nini ni hapo jioni maana kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi matokeo yatatangazwa leo hii.
Kwa wale mnaopenda kufuatilia maendeleo ya yanayojiri Igunga ITV wana program maalum ya siku nzima ku cover uchaguzi huo
Hili tatizo lipo toka asubuhi hata sielewi mwisho ngoja tusubiri updateMkuu kuna watu wamezuiliwa kisa wamepoteza id zao lakini majina yao yapo ITV wanaripoti
Kama kawaida yenu...mnawaza tu kuibiwa
Asante kwa updates..
Kina mama bado wapo mstari wa mbele?
Au vijana wameshaanza vurugu?
kwa sababu CCM ni wezi sana na miaka yote wanaiba kura(uroho wa madaraka)Kama kawaida yenu...mnawaza tu kuibiwa
Hili tatizo lipo toka asubuhi hata sielewi mwisho ngoja tusubiri update
naomba igunga mvua isinyeshe leo,na Ngeleja hasikate umeme
Asante mkuu sisi huku redio 1 hatupati inapatikana kwenye dishi umeme ndohuo wanye nnchi wemeuchukuwa
Mwanangu akiona avator yako huwa analia, sijaelewa kwa nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????
Anaipenda ndio maana!Mwanangu akiona avator yako huwa analia, sijaelewa kwa nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????
Hii TV mmiliki wake ni Mengi? Naye c ametokea Machame kama Mbowe?
Hili tatizo lipo toka asubuhi hata sielewi mwisho ngoja tusubiri update
unaposema umeme umekatwa kisa bendera za cdm, huo ni unafiki, uongo, uchochezi, uchawi n.k.Ni kweli lTV walikuwa LIVE lakini huku kwetu tayari wameshachukua umeme wao. Nafikiri sababu nyumba nyingi zapeperusha bendera ya CHADEMA! WanaJF mliopo lgunga endeleeni kutuhabarisha ili nasi tufatilie kwenye visimu vyetu vya kichina!l
Wataruhusiwa kweli jamani?! Hii si watakua wamekosa haki yao ya msingiMkurugenzi naona anaongea lakini inaonekana hawataruhusiwa