Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
huyu dada yetu fatuma wangempa kiti na yeye akae kidogo.mwenzake masako kakaa.wangemletea kiti kirefu kama cha bar.wenzao cnn wanasimama wanaletewa kiti maji juice na mandazi.mia
 
wamejikosesha wenyewe. Wangejua umuhimu wa kupiga kura, wangeripoti mapema ili Nec walifanyie kazi.
Hiyo ya kujikosesha nakubali walitakiwa kutoa taarifa kwa Mkurugenzi mapema lkn kwa upande mwingine waliambiwa watajaza fomu na 17 wakiwa vituoni
 
Kwa hiyo unasema hata wakiibiwa they will remain pumbafu. Sidhani kama mtaji huo wa zamani ndo uliopo kwa sasa. sahau. kila mtu hasa vijana wako mukhari na wezi wa rasilimali zao.

Na ndio maana tangu awali nilitangulia kusema kwamba, hata kwa kuangalia lugha za mtu, nilikuwa namaanisha lugha kama hizo kwenye red mkuu!!!
 
weka hizo picha/video na sisi wataalamu wengine wa saikolojia tutoe maoni yetu!
 
Jana huyo JMK si alikuwa disco na machangudoa wa ilala vp kasha amka???
Huu ndiyo upuuzi nisioupenda jukwaani!!! JK ni rais hata ushindi wake ulikuwa na mawaa hutakiwi kumzushia namna hiyo, huna cha kuandika acha siyo kujaza upupu.
 
Mwandishi wa ITV.

Kituo cha Upumbulya.

ID za baadhi ya vitambulisho ni tofauti na zile zilizo kwenye majina yaliyoko kwenye documents za NEC.

Sasa hapa wadau msnisaidie. kwani NEC wanatunza data za wapigakura kwa database au kwa Excel?

Mwanahabari anasema watu wanapiga kura na kuondoka kwa maana wengi wanaonekana wako na nidhamu na ni waoga.
 
Teh" teh! Teh! Mama kafumu una mambo nyege znakusumbua saaana! Umeshndwa ku2lia unaanza mchecheto...! Kashndye akienda bungen nadhan utaenda kumpoza ticha..! 2liza kitenec ngoma bado mbichi
 
Hiyo ya kujikosesha nakubali walitakiwa kutoa taarifa kwa Mkurugenzi mapema lkn kwa upande mwingine waliambiwa watajaza fomu na 17 wakiwa vituoni
Hiyo fomu na 17 ndio inahusu nini?
Hebu tuhabarishe..wengine hawakuelewi Dena
 
Nimeambiwa na jamaa yangu aliye Igunga sasa hivi kwamba mamia ya vijana wameanza kujitokeza vituoni kupiga kura.Tuombe Mungu hali iwe hivihivi kila kona.
 
SIO siri, kwa mtu aliye mtaalamu wa kusoma hisia za watu kutokana na personality zao ikiwa ni pamoja na body expression na uongeaji, basi hana shaka pale atakapokuwa anawaelezea watu fulani fulani! Nafuatilia uchaguzi wa Igunga kupitia Chanel 10 ambao hivi sasa wanarusha LIVE! Mistari inaonekana ikiwa na watu walio na nyuso na ambao hata mavazi yao yanatosha kuwaelezea ni watu wa namna gani!! Vijana wapo, lakini wengi wao si wale ki-facebook au ki-hip hop ambao naamini ni mtaji tosha kwa CHADEMA!!! Wanaoonekana hapa ni wale walioundwa na nyuso za kiungwana zisizopenda shari!!! Sina shaka yoyote kwamba, hapa CDM hawana chao; si kutokana na kuibiwa kura bali kutokana na kushindwa kwa halali kabisa!!
ndugu yangu huu si wakati wa utabiri mambo ya utabiri mwachie shekhe yahya kama watu wangekuwa wanachagua kwa kumwangalia tu mtu usoni kusingekuwa na upigaji kura....je unajua tofauti ya uungwana na ujinga!?
 
Hiyo ya kujikosesha nakubali walitakiwa kutoa taarifa kwa Mkurugenzi mapema lkn kwa upande mwingine waliambiwa watajaza fomu na 17 wakiwa vituoni

hiyo ilikuwa danganya toto. Nani asiyewajua ccm.
 
Jana huyo JMK si alikuwa disco na machangudoa wa ilala vp kasha amka???

Unatuuliza sisi wakati ulikuwa nae wewe? Unanchekesha! Si utujuze uliyekuwa nae disko kama kisha amka au yeye bado kalala na wewe umewahi kuamka.
 
Natamani ninge wauliza wagombea wa ccm,chadema na cuf.

Kipi kigumu kati ya kusubiria majibu ya:-
a)Matokeo ya uchaguzi
b)Matokeo ya HIV
 
Nimeambiwa na jamaa yangu aliye Igunga sasa hivi kwamba mamia ya vijana wameanza kujitokeza vituoni kupiga kura.Tuombe Mungu hali iwe hivihivi kila kona.
Bora wapige kura kwa amani.
Tuombe Mungu yule mdudu wa Arusha asiingie Igunga
 
Sijui nyie mnao confirm kwa kutumia picha, mi nasubiri matokeo tu na sio lepelepe zenu
 
Kwa hiyo unasema hata wakiibiwa they will remain pumbafu. Sidhani kama mtaji huo wa zamani ndo uliopo kwa sasa. sahau. kila mtu hasa vijana wako mukhari na wezi wa rasilimali zao.

ze....ze....ze. English please!?.....okh! elezea kwa kiswahili. watabaki pumbafu.....haki elimu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom