Memo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 2,157
- 760
Rostam Aziz ndani ya Igunga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rostam Aziz ndani ya Igunga.
kashindye ambaye ni mgombea wa chadema,kahojiwa sasa hivi itv baada ya yeye kupiga kura na kusema kwa hapo alipo hali ni shwari.ila atapata uhakika zaidi ya mwenendo wa uchaguzi baada ya kutembelea vituo zaidi ya kumi.amesema yupo postive na matokeo yoyote yatakayo toka lakini ana uhakika wa yeye kufanya vizuri na kuibuka kidedea.mia
Mambo vp mama kafumu? Niambie habari za huko!! Naona umeanza kutupatia updates uharo hapa JF,thanx much....Vp mzee presha yake ikoje? Maana alituomba tumchague kama wewe ulivyomchagua......
Fomu no 17 ni tatizo
gari ya ccm inapita mitaani kwenye kata ya nyandekwa ambayo ni ngome ya chadema ikitangaza kuwa mgombea wa chadema amejitoa,
diwani wa ccm kata ya nkinga alikuwa anatisha wapiga kura,lakini ameshughulikiwa na vijana wa chadema
hiyo fomu ikoje ijoje?
Mawazo yako yapo huko huko! Kumbe Dina na Ant suzzy unawafaham? Hongera sana kwa kufanya nao kazi!Ukiona mtu anatumia maneno ya wakina mama ya kusutana ujue tayari huyo, tumuombe Dina wa clouds ampe number ya anti suzzy.
OK! Pamoja na hayo wana-JF hawa watu ni wezi sana Waangalie hata namna masanduku yatavyo kuwa yana safirishwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine humo kwenye magari pawe na raia wetu CDM,kumbukeni vitendo alivyofanya Mahanga Makongoro pale segerea wakati anabadilisha masanduku yake mwenyewe kama hayo yaliyopo Nzega kwa DC.
Hiyo fomu na 17 ndio inahusu nini?
Hebu tuhabarishe..wengine hawakuelewi Dena
Endelea na mawazo hayo hayo. Sisi tunaendelea tu kushinda.
Hahaha..Nimeongea asubuhi hii na Mh. Lema akiwa Igunga kwa simu, kaniambia kuwa ana uhakika CHADEMA itashinda.
Hii TV mmiliki wake ni Mengi? Naye c ametokea Machame kama Mbowe?
pumbaf zao,samahani naomba leo ban isiwepo.hawa jamaa wa magamba ni wajinga sana.kunavijana wanalalamika kuwa majina yao yapo ila namba za shahada zimebadilishwa so hawatoweza piga kura.janja zimeanza.
kuna sehemu magari hayafiki. Wangefanya nini ndg.
Thanx!Kama umepoteza kitambulisho ukijaza hiyo fomu unaruhusiwa kupiga kura
Bila shaka ni wrong number....oooops, i mean wrong thread; au sio mkuu?! Manake mie sijazungumzia sura zilizochoka wala sura za kisharobaro!!!!!!! but worry out, mod is doing his job to redirect it to the right thread!!!!!Unafikiri hadi kufikia 2015 bado wenye sura zilizochoka ndio watakuwa majority? kama wenye sura za kisharobaro walikuwa 600,000 mwaka 2005, wakaongezeka na kufika 2,000,000 mwaka 2010, unafikiri mwaka 2015 watakuwa wangapi? Kama waliokuwa na sura zilizochoka mwaka 2005 walikuwa 9,000,000 wakapungua hadi 4,000,000 kwaka 2010, unadhani hadi 2015 watakuwa wamebaki wangapi?
Najua hesabu ni tatizo shuleni, so hii assignment huiwezi
Hahaha..
Lema siku hizi kageuka kuwa Shekh Yahya! Kumbe chadema kuna watabiri wazuri!
Ukiona mtu anatumia maneno ya wakina mama ya kusutana ujue tayari huyo, tumuombe Dina wa clouds ampe number ya anti suzzy.