kudadadadeki.........wamekata umeme.
sasa nasikiliza redio kupitia simu.
kupata habari ni haki yangu ya msingi.
mapambano yanaendelea.
tumuamini nani?
mkuu redio gani inatangaza nasisi wametulichimondi
tumuamini nani?
Best wako MS umemtema wapi? Hatuoni madudu yenu humu jamvini.
Mie na mchina bana ipad nitaitoa wapi Rejao wewe?
kudadadadeki.........wamekata umeme.
sasa nasikiliza redio kupitia simu.
kupata habari ni haki yangu ya msingi.
mapambano yanaendelea.
Radio one na ITV livemkuu redio gani inatangaza nasisi wametulichimondi
Sasa hivi ndio ninaenda kupiga kura baada ya kunywa chai.Nyie mliokuwa mnapiga kelele hapa njoon mpige kura sasa.NAKUUMIA SIRI KIDOGO NAKWENDA KUMPIGIA KAFUMU .WAKINA MAMA WANAFUNIKA HAPA IGUNGA MJINI KWA KUJITOKEZA KWA WINGI.CDM PRESHA JUU,WAMEGUNDUA VIJANA WALIKUA HAWAKUJIANDISHA.NIMEFIKA KITUONI NGOJA NIKAWAMALIZE CDM NINAHASIRA NA NYINYI...BADAE KIDOGO.
Igunga ni Chadema; Chadema ni Igunga.
Walishachoka na ahadi hewa, 50 years +
enough is enough.
Nyangasa Fatma Almasi yule wa ITV?Kama ni huyo kuja haja ya kuamini maana lazima ITV na Radio One watakuwa na wawakilishi wao kule Igunga, halafu mtu adanganye for the sake of what?Nyangasa anasena taarifa za jikoni huko huko ni kwamba Vijana wamejitokeza kwa wingi sana kupiga kura je ni kweli ?