Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.

Sasa hao wanao potosha kuwa vijana hakuna. kumbe wanaongea upupu tu
 
...mkuu hiyo ni mbinu zuri sana ya kivita coz sometime hawa wenzetu wanakuwa kama watoto vile,na leo ilitakiwa hasitumwe mtoto dukani!...
 
Mchina wako umetulia..naona kitu via mobile.
Mods vp? mbona hawaweki kitufe cha like? Nashindwa kuugongea like mchina wako kwa kaz nzuri unaoifanya
Siasa bana, sometimes mpaka mautani ndani.
 
Mchina wako umetulia..naona kitu via mobile.
Mods vp? mbona hawaweki kitufe cha like? Nashindwa kuugongea like mchina wako kwa kaz nzuri unaoifanya

Kiukweli ni mzuri halafu line mbili. ITV live Igunga na Kabendera
 
Mie na mchina bana ipad nitaitoa wapi Rejao wewe?

tunaomba wewe na rejao mtupe habari za igunga kama hamna kaa kimya coz mnatuchanganya.kama mnataka kuchat nendeni basi chitchat!.nawaheshimu sana.fanyeni hivyo.mia
 
Mkuu umenimaliza mbavu cdm oyeeee balimi juuuu
 
Ngoma inogile...

There are currently 353 users browsing this thread. (129 members and 224 guests)

7 pro CCM, 341 pro CHADEMA, 1 pro CUF and 4 neutral....

Kama uchaguzi ungefanyikia JF basi Rejao angepasuka kile kichwa
 
Masako anatoa elimu ya uraia through ITV. Naye ni CCM lakini this time anaonekana mwaminifu kidogo.
 
Ila mkurugenzi katuma watu waende kutatua hilo.ripoti kutoka igunga na mwandishi live itv.hii tv leo inatujuza sana but tbc inaonesha bango.
 
Kiukweli ni mzuri halafu line mbili. ITV live Igunga na Kabendera
Haahahahah..hiyo imetulia!
Kitu Igunga live ndali ya mchina!!
Inabidi utupe update za igunga..kuna mshkaji kashaanza kumind!
 
ilikuwa miezi, ikawa wiki sasa masaa..tutajua mbichi na mbivu...
 
Zoezi linaendelea vizuri ila kwa baadhi ya vituo fomu namba 17 zilikuwa hamna,hivyo kukwamisha baadhi ya wapiga kura hasa vijana,baadae limefanyiwa kazi na Mkurugenzi ameahidi kulitatua ASAP.
 
Ngoma inogile...

There are currently 353 users browsing this thread. (129 members and 224 guests)

7 pro CCM, 341 pro CHADEMA, 1 pro CUF and 4 neutral....

Kama uchaguzi ungefanyikia JF basi Rejao angepasuka kile kichwa

Wazee mko makini. leo ni burudani tu.
 
tunaomba wewe na rejao mtupe habari za igunga kama hamna kaa kimya coz mnatuchanganya.kama mnataka kuchat nendeni basi chitchat!.nawaheshimu sana.fanyeni hivyo.mia
Ndio habari zinakuja kwa njia hii..
Huoni updates za Dena?
 
Sasa hao wanao potosha kuwa vijana hakuna. kumbe wanaongea upupu tu
Kuna watu wakisikia vijana wanahanya balaa, nakumbuka kipindi cha uchaguzi JK kila akienda sehemu ni lazima aseme atapandisha gredi hosptital za wilaya ziwe rufaa! Sijui mpaka saizi kesha pandisha.
 
Tbc wamerudi na wameonesha hali ilivyo na wanasema mwitikio ni mkubwa sana na wameonesha foleni zilivyo na kumetulia.watu wanaletwa na bajaji.ila kuna mgombea mmoja hakumtaja ameshaandaa watu waanze kushangilia ushindi.tbc wamekamilika tusiwalaumu kwani kimya kingi kinamshindo mkuu.pamoja.
 
Kuna thread hapa jamvini inasema kuna live coverage ya Igunga kupitia ITV ila cha kushangaza isivyo kawaida j2 huku tabora umeme umekatwa sijaelewa implication yake ni ipi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…