Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Vyama vipo 19 siyo lazima CHADEMA ishirikiNimeshamsikia mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ndugu Kailima akitangaza uchaguzi mdogo wa mbunge na madiwani.
Chadema msijidai hamshiriki njooni uwanjani tutest mitambo.
Matokeo NEC tayari wanayoTanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Huyo msajili ni sehemu ya uchafu kwenye chaguzi hizi. Ni bora yafanyike mapinduzi ya kijeshi ili kama nchi tuanze upya. Kuendelea kushiriki kwenye chaguzi hizi za kishenzi ni kukosa akili.
Kabisa, halafu watu wakaendelee kupoteza muda eti wanachagua kiongozi.Matokeo NEC tayari wanayo
Haiteuliwi wajumbe wake na mkt wa CCM,Tume "huru" inakuwaje?
jigeuze wewe kuwa msajili ili ufute hivyo vyama unafikir uchaguz ni sawa na mamako nyumbani kwenu uliyezoea kumletea kibri akakuacha kwa upumbavu na ujinga wako.Msajili wa vyama ifike mahali vyama visivyoshiriki uchaguzi vifutwe.
Wangeteua tu kuliko kuchezea mali za ummaKabisa, halafu watu wakaendelee kupoteza muda eti wanachagua kiongozi.
Walisema pia hawatachukua Ruzuku iliyotokana na uchaguzi haramu wa 2020!Bila Tume huru ya Uchaguzi hawashiriki uchaguzi wowote!!!
Sio kweli.Chadema haitoshiriki Ibada ya Shetani .
Hao wapayukaji hovyo nani awachague?Nimeshamsikia mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ndugu Kailima akitangaza uchaguzi mdogo wa mbunge na madiwani.
Chadema msijidai hamshiriki njooni uwanjani tutest mitambo.
Wao kama chama wanaweza kuchukua hela ama hata kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi, ili sisi wapiga kura tulio wengi hatutakuwa tayari tena kwenda kupoteza muda kwenye zoezi lisiloheshimiwa.Walisema pia hawatachukua Ruzuku iliyotokana na uchaguzi haramu wa 2020!
tena kwa mbwembwe kabisa walisema kama uchaguzi wanasema ni haramu ni pamoja na chumo la uchaguzi huo ( Ruzuku) …usiwaamini Wanasiasa
"mkt" ndiyo nini?Haiteuliwi wajumbe wake na mkt wa CCM,
Ambayo matokeo ya Rais yatahojiwa mahakamani.
Hayo ulijifunza wapi?Haifuati anachotaka rais na chama chake. Enzi za kupotezea watu muda wakati na mna matokeo mfukoni umepita, ni aidha machafuko, au mapinduzi ya kijeshi ili tuanze upya katika utawala wa nchi hii.
Kama wao kwa wao inakuwa hivi...!Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Ndio uhalisia.Hayo ulijifunza wapi?