Uchaguzi mdogo umeshatangazwa CHADEMA msikimbie

Uchaguzi mdogo umeshatangazwa CHADEMA msikimbie

Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Huyo msajili ni sehemu ya uchafu kwenye chaguzi hizi. Ni bora yafanyike mapinduzi ya kijeshi ili kama nchi tuanze upya. Kuendelea kushiriki kwenye chaguzi hizi za kishenzi ni kukosa akili.
Matokeo NEC tayari wanayo
 
Nimeshamsikia mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ndugu Kailima akitangaza uchaguzi mdogo wa mbunge na madiwani.

Chadema msijidai hamshiriki njooni uwanjani tutest mitambo.
Hao wapayukaji hovyo nani awachague?
 
Walisema pia hawatachukua Ruzuku iliyotokana na uchaguzi haramu wa 2020!

tena kwa mbwembwe kabisa walisema kama uchaguzi wanasema ni haramu ni pamoja na chumo la uchaguzi huo ( Ruzuku) …usiwaamini Wanasiasa
Wao kama chama wanaweza kuchukua hela ama hata kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi, ili sisi wapiga kura tulio wengi hatutakuwa tayari tena kwenda kupoteza muda kwenye zoezi lisiloheshimiwa.
 
Haifuati anachotaka rais na chama chake. Enzi za kupotezea watu muda wakati na mna matokeo mfukoni umepita, ni aidha machafuko, au mapinduzi ya kijeshi ili tuanze upya katika utawala wa nchi hii.
Hayo ulijifunza wapi?
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Kama wao kwa wao inakuwa hivi...!


Hao Chadema watapenyaje...?
 
Back
Top Bottom